Recent content by neverknow

  1. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    ilikuwa ni wakati huo kwa sasa mtoto kaenda karibu ni u.k,malaysia,germany,na huko chakula anaagiza anachotaka!! na kwa wale wenye kipato cha kati hatuna wasi wasi shule za kiislamu zipo za kutosha hapa tz(tunamshukuru mungu kwa hilo)
  2. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    nini chanzo cha kuporomoka kwa uchumi duniani???jk anahusika hapo:biggrin: ikiwa malighafi nyingi za viwandani na mashine zinazotumika humo ni kutoka marekani na nchi za ulaya nini kitafuata wakipandisha bei za bidhaa kwao ili kufidia hasara,ni kawaida na huku tz bidhaa zitapanda!!na si tanzania...
  3. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    umejichosha kuandika maneno mengi sana yasiyonaumuhimu wowote kwangu! mungu ibariki tanzania,wabariki viongozi wake:shut-mouth:
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    mnafeli masomo na maisha mnakimbilia siasa,kwa maana hiyo mnabanana kwenye siasa kwa kuwa matarajio yenu mtafanikiwa kimaisha kupitia siasa na ukweli ni kwamba watakaofanikiwa ni viongozi tu nyinyi walalahoi nguvu zenu na kujituma kwenu katika harakati za kutafuta maisha ndio itawaletea...
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    [/COLOR] kwa nini huyo mod asikuban wewe??!! jibu hoja kwa hoja nimetoa mtazamo wangu toa wakwako,shida ipo wapi?? hayo maneno ya rangi nyekundu yanaonesha watu wa mfano wako ni wa namna gani:shut-mouth: tusitishane na ban nina username zaidi ya 85 kazi kwako
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    mimi si mgonjwa wa siasa wala sipo chadema wala c.c.m mafanikio ya maisha yangu yanaletwa na juhudi zangu si juhudi za mgombea yoyote wala kiongozi yoyote!!! ningekuwa na la kuwashauri vijana ningewashauri wasivae vitambaa vya chadema wala kofia za c.c.m hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Malaria sugu kwa mwanangu!

    madoctor hapa itabidi muwaongeze posho,bado sijaona wazo hata moja la maana la kumsaidia huyo mtoto,mama mwenye mtoto nenda kamface doctor maalum kwa magonjwa ya watoto katika hospitali yoyote uliyokaribu nayo ili uwe na amani na kile kinachoendelea hata mtoto akizidiwa haitokulazimu urudi humu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    hawachochei udini,wanapambana na udini,wapeni uhuru kidogo tutafika tu:shut-mouth:
  9. N

    JamiiForums Tanzania Fagio la chuma la Mwakyembe lapandisha mapato bandari ya Dar es Salaam

    yeye ni miongoni mwa wenye nchi ndio akawa na uwezo wa kwenda hapo hapo bandarini na kuweka uwozo wote hadharani,utaishia mikwara nyuma ya lap top yako tu,ukitoka nje ya nyumba yako jasho mpaka kwenye kucha:shut-mouth:
  10. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ama CCM kipi kitanifaa hasa kuelekea 2015?

    mimi nadhani c.c.m 2015 itapita kiulaini tu nina sababu zaidi ya 75 tatizo ni mda tu wa kuzifafanua,chadema imechukua picha ya kiudini zaidi,(mrengo wa kushoto)waislamu ikiwa ni 67.5% ya wa tz,nadhani mtakuwa mtajua matokeo yatakuwa vipi!
  11. N

    JamiiForums Tanzania FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

    umeikuza tu habari hii na kulipa hili tatizo ukubwa usiostahiki,thibitisha ujio wa hao jamaa,kwa chochote kile kwa maneno(yako binafsi)hatukuamini,wakati waalimu wakitegemea kupokea mshahara wa mwezi huu tarehe 28/02 au tarehe 02/03 kutokana na uhaba wa pesa serekali itatoa wapi hela za kuleta...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimetoa rushwa leo kwa traffic

    una bahati wewe na huyo fisadi mwenzako,usiombe siku yakukute:shut-mouth:
  13. N

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (BRT)

    punguzeni rongorongo unakuwa kama mgonjwa wa wasiwasi subirini mradi ukamilike ndio ulete malalamiko yako au pongezi zako,roma haikujengwa kwa siku moja!!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania TCRA waifungia TV Imaaan

    mbona mimi hapa nacheki hiyo tv imaan ama ving'amuzi vyenu hamjavipigisha shoti ya umeme???:shut-mouth:
  15. N

    JamiiForums Tanzania Al-jazeera islamic center yaishukia mtanzania

    hapo mwandishi wa khabari hiyo kama alikurupuka tu,au kitu kidogo kilimpa matumaini ya kuzua anayoona yeye ni sawa,sasa hivi presha juu,watu wanaletewa mitumba ya nguo kama misaada kwa nchi maskiti wajikimu kimavazi anakurupuka mtu anasema ni silaha,thibitisha sasa????!!!la sivyo mbebeni mahakamani
Back
Top Bottom