ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Chadema watakulostisha tu. Maadui zako wakiandika uzushi Jamiiforums vikao vya chama vinakufukuza uanachama. Yaani JF ndio mahakama ya chadema.
nini chanzo cha kuporomoka kwa uchumi duniani???jk anahusika hapo:biggrin:heee vipi tena mkuu unaugomvi na maisha yako???? naona umeshakata tamaa ya maisha wewe sasa. inamaana hujui maisha yako toka unavoamka hadi kulala tena ni siasa??? nambie sasa unga kupanda bei nini chanzo??, sukari, mafuta pombe mnazokunywa jee?/ hayo mafuta?? unadhani ni nini chanzo???? tulia na ufikirie kabla ya kudakia majibu ya mgando hayo.:dizzy::dizzy::dizzy::dizzy::dizzy::dizzy::dizzy::dizzy:pamoja tuijenge tanzania yetu nzuri
mnafeli masomo na maisha mnakimbilia siasa,kwa maana hiyo mnabanana kwenye siasa kwa kuwa matarajio yenu mtafanikiwa kimaisha kupitia siasa na ukweli ni kwamba watakaofanikiwa ni viongozi tu nyinyi walalahoi nguvu zenu na kujituma kwenu katika harakati za kutafuta maisha ndio itawaletea mafanikio yenu!
Msijenge matarajio juu ya shimo la nyoka:shut-mouth:
ilikuwa ni wakati huo kwa sasa mtoto kaenda karibu ni u.k,malaysia,germany,na huko chakula anaagiza anachotaka!!mimi sijawahi kusoma madrasa!.. Wanaoogopa kuwapeleka watoto wao shule kwa hofu ya kulishwa nguruwe ndiyo wanaofeli masomo na maisha!.. Nenda kitaa utayaona hayo!!!!!!!
nini chanzo cha kuporomoka kwa uchumi duniani???jk anahusika hapo:biggrin:
ikiwa malighafi nyingi za viwandani na mashine zinazotumika humo ni kutoka marekani na nchi za ulaya nini kitafuata wakipandisha bei za bidhaa kwao ili kufidia hasara,ni kawaida na huku tz bidhaa zitapanda!!na si tanzania tu ulimwengu mzima kama ilivyo sasa!changamsha akili kabla ya kuandika hoja zisikuwa na mashiko:shut-mouth:
you better do that my dear, nchi imeoza tayari lakini kabla haijatupwa kwenye dustibin, watanzania wote tunayo nafasi ndogo sana ya kuisafisha na kupulizia pafyum. Ucku mwema.
Na hapa je?! nichangie nini mkuu?chochote chenye kujenga mkuu, hata ukiona nielekee ktk id yako its okey,;; what i real need is your idvice.:israel::israel::israel::israel:pamoja tuijenge tanzania yetu
Wanajamvi,
Nimefikiria sana nikaona niachane na siasa za kishabiki mara huku mara kule, ilimladi tu upepo unapovuma. Nahitji kukaa nikatengamaa nifungane na chama kimoja tu. Cheni thabiti ya kutuvusha katika hili vuko lijalo kubwa sana kuelekea 2'15.
Najua na naami hasa hapa jamvi hapokesekani wajuzi, wazoefu zaidi wa siasa. nishaurini ili mapema niende nikajiunge ili nami niwe mwanachama halisi, nisieyumbishwa wala kufuata upepo.
karibuni kwa ushauri wenu wakuu. Pamoja tuijenge Tanzania yetu nzuri.
Naic napanda mlima ambao coni kilele chako, wat du thnk?Kaka kizuri chajiuza kibaya chajitembeza,angalia kwanza umri wako halafu angalia ulikotoka na unakoelekea utapat jibu,km unapanda mlima au unateremka.