mary mary
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 869
- 287
CCM wenyewe wanajua CDM iko juu ndo maana wanahangaika usiku na mchana kuishusha chini, wanalipa watu fedha ili watoboe siri zilizo ndani ya Chama......Hofu kuu imeitanda CCM.
Chama pekee cha upinzani kinachowaelewa wananchi wanataka nini ni CHADEMA, 2015 Chagua Chadema
Chama pekee cha upinzani kinachowaelewa wananchi wanataka nini ni CHADEMA, 2015 Chagua Chadema