Recent content by neurosupport

  1. N

    Tatizo la meno kufa ganzi na chanzo chake

    Ukiwa unasubiri watalaam chukua maji yaliyo chemshwa yakapoa weka chumvi halafu utumie pamoja na hizo dawa za memo kusugulia meno.
  2. N

    Bagamoyo kwalipuka tena - ni CCM vs CHADEMA

    Ndugu zangu wanachadema wakati wa ukombozi umeisha fika,hapa ndipo tunapo takiwa kuwa pamoja katika nyakati ngumu kama hizi.Hatutakiwi kukata tamaa bali kupigania haki zetu mpaka mwisho,maana tukiogopa watachukua kila kitu kwa kututisha.Nawapa pole makamanda wote mlio umizwa kwa kupigania...
  3. N

    Ni kweli tunahitaji mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC?

    Re: Ni kweli tunahitaji mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC? Nina uhakika kabisa kuwa hili suala halitatimia kwasababu serikali yetu haina dini hivyo mambo ya kidini yanatambuliwa na wenye dini hiyo.Hivyo basi suala la mahakama ya kadhi hatuwezi kuikubali itambulike kiserikali na kutumia fedha...
  4. N

    PICHA; Lissu, Msigwa Walivyoiteka Iringa Jana!

    Nimatumaini yangu kwa nguvu za mwenyezi mungu kuwa ccm sasa kitakuwa chama cha upinzani na itakichukua mda mrefu kuja kusimaa tena. usiniulize kwanini wakati umepewa macho. VIVA CHADEMA
  5. N

    Enyi CHADEMA

    Halafu tabia ya kumwita Kikwete dr,ikome kwani hadeserve.Kama mnataka mwambieni akasome zaidi.
  6. N

    Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

    Siku za mwizi ni arobaini,wakati umefika kuwaonyesha ccm kuwa hata watoto wa shule za msingi na sekondari wamegundua kuwa ccm ni wezi.Cha moto kukiona 2015. Kitaeleka tu
  7. N

    Tanzania: Maisha ya Tembo wetu hatarini!

    siku zote mtu mwizi huwekwa madarakani na wezi wenzake,kwahiyo msishangae kuona Kinana akimaliza tembo wetu kwa fujo na viongozi wetu kukaa kimya. Ila siku zake zinahesabika,ngoja chadema tuchukue nchi utaona watakavyo kimbia.
Back
Top Bottom