Okey mimi nakushauri nenda karipoti kwanza halafu fanya process ukiwa huko. Maana ninavyojua mimi ni kwamba wizara ikishakupangia mamlaka juu ya mtumishi huyo inabakia kwa halmashauri husika.
Sio kwamba ndoa ya serikalini haina baraka. Kama ingekuwa hivyo basi wasingeweza kutumia cheti kile kile wangekupa kingine, pia vyeti vya ndoa vinavyotumika kanisani vimetolewa na serikali kanisa halina vyeti vyake vya ndoa.
Mimi ni mkristo tena RC, ninachojua mimi ni kuwa kuna aina tatu za ndoa 1. Ndoa ya kanisani 2. Ndoa ya serikalini 3. Ndoa ya kimila na aina zote zinakubalika. Aina ya kwanza na ya pili wanakupa cheti kile kile cha ndoa isipokuwa cha kanisani kina mihuri ya kanisa na cha bomani kina mihuri ya...
Hizi taasisi ni za kitapeli. Mimi niliponea chupuchupu kutapeliwa Tsh 37500/= kwa madai kuwa ni hela ya ada ya uanachama. Walidai kuwa taasisi yao inashirikiana na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo. Nilipiga simu tigo kwa uhakika zaidi lakini tigo wakakana kuingia mkataba na taasisi hiyo...
Wadau kuna hii organization, je ni kweli inatoa mikopo kwa njia ya mtandao?
nimekutana na link yao sehemu nikadownload nikapaka form na kujaza baadhi ya detail. hapohapo nilitumiwa sms kwenye simu yangu na kuombwa nitume kiasi cha 45,000/= kama ada ya uanachama ili niweze kutumiwa mkopo wa...
Ndugu watu8. Majibu yenye utata ni majibu yasiyotoa picha halisi ya kile unachokipima na yapo kwa sababu ifuatayo. Katika kipimo cha HIV kilichopo kinapima antigen-antibody reaction na sio HIV pekee inayostimulate hii reaction na ndio maana kama mtu alikuwa ana ugonjwa mwingine uliosababisha...
Kuna wakati SD bioline 1/2 ziliingizwa kwa wingi sana na zilipokuja kukaguliwa zikaonekana ni feki wakati tayari nyingine zilikuwa zimeshasambazwa kwenye baadhi ya mikoa. Hivyo serikali ikasitisha matumizi ya SD bioline 1/2 na kuanza kutumia Determine kama kipimo cha kuanzia.
Kupima VVU tunatumia vipimo vya aina mbili. Ya kwanza ni Determine na ya pili ni Unigold. Determine tunatumia kudetect uwepo wa vvu na ili kujihakikishia tunatumia na unigold as a confirmatory test. Ili kuonesha kwamba umeathirika vipimo vyote viwili lazima vitoe mistari miwili. Inapotokea...
Kaka hongera sana. Lakini usiogope kwa mama ambae ni ujauzito wa kwanza huwa kunaweza tokea kupitisha siku na ndio maana ile tarehe ya kujifungua huwa tunasema ni expected date kwamba ni tarehe ya matarajio. Lakini cha msingi fanya maandalizi muhimu pia afanye mazoezi ya kutosha hiyo itamsaidia...
Hongera kwa hatua uliyofikia. Kwa tarehe ya mwisho ulipoona hedhi uliyoitoa yaani tar8 July 2013, daktari wa kwanza yupo sahihi ijapokuwa kunaweza kuwa na variation ya siku chache. Lakini kwa ushauri wangu fanya maandalizi yote muhimu mapema na nenda clinic iliyo karibu mara unapoona kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.