Recent content by nesto lee 360

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuchukua mzigo china kwa mtaji wa Tsh. Milioni 25

    Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji printer ambayo itafaa kwa graphics

    Chukua Epson L805
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Tone zake zinauzwa 170,000 Wino wa ku refill bei ni 100,000 ½
  4. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Inategemea na paper but maranyingi inafikia hivyona zaid
  5. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    1.2 M
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Asanteni kwa mawazo nishavuta xerox 7225 embu nisubili matokeo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Huwez print direct
  8. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Unaweza kuprint kwa kutumia transfer papers yaan, unaprint artwork yako kwenye hizo aina za paper then ila paper unaweka juu shat, alafu una press kwa heat juu ya hiyo karatasi basi ila art work yako itakuwa imeamia kwenye shati lako. Pia unaweza printia vikombe kama una heatpress
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Epson l805 nilinunua 720k.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Asante kwenye Tshirt natumia pia japo nina machine zingine kama plotter na heatpress ndo nazitumia sana kwenye tsht
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Hii naitimia kuprint Cd, Id, Picha ila kaz kubwa inatake time coz inaprint page moja kwa sekunde 14 approximation page 6 kwa dakka hiyo xerox nimeona kwa dakka naweza print page 25
  12. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Epson ninayo boss
  13. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Nimeipenda but nikipata tenda kubwa kama kuprint vitabu, vipeperushi kalenda nachukua time kubwa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    Epson ninatumia l805 tuu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa printer xerox

    habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu. Ushauli wakununu nyingine napokea kiasi changu ni 1.3M Sifa iwe inaprint color...
Back
Top Bottom