KANAANI MPYA MINISTRY
Member
- Oct 24, 2021
- 6
- 0
Habari wakuu,
Samahani kwa mtu mwenye exprience na biashara ya stationary naomba msaada wa kiutaalam.
Nahitaji kuanzisha biashara ya stationary lakini sehemu nilipo kuna ushindani wa hiyo biashara.
Wenyewe copy wanatoa kwa sh 20 mpk 25 per page na kuprint ni sh 50 per page.
Manake ili uweze kuendana na mazingira hayo kibiashara lazima uwe na printer ambayo matumizi yake ya wino sio makubwa.
Sasa kwenye pitapita zangu kuna mtu kanambia kwamba printer ya EPSON L3111 itanifaa ila kwakuwa dina uzoefu na hivyo vifaa nikaona nilete mada hii hapa mezani ili walau nipate mawazo ya wajasitiamali wenzangu.
Nahitaji printer ambayo itafaa kwa graphics
Ushauri tafadhali