Recent content by NEREA

  1. NEREA

    Zari anunua ndinga mpya

    We endelea kujipa moyo
  2. NEREA

    Asante mme wake alokuwa shemeji yangu narudishiwa gharama zote nilizogharamia demu

    Ndugu komaa ela yako irudi wakisema basi yaishe ujue wapo after money
  3. NEREA

    Mama Hamisa asema anataka mwanae aolewe na Mzungu, Waafrika hawafai

    Sasa mbona anamsindikiza mwanae madale akatiwe huo mda si angemtafutia huyp mzungu wake
  4. NEREA

    Tamaa ya pesa ndiyo inayomfelisha Mbosso wa WCB

    Sasa akikaa kimya atadaulika kama kiba.. Mwanamziki yyt anatakiwa awe karibu na mashabiki zake sasa ukitakaa akae miez 2 3 ndio apost tutamsahau
  5. NEREA

    Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

    Kwani ujaisoma mpka mwisho
  6. NEREA

    Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

    Muolee mke wa pili
  7. NEREA

    Mume wangu anaumwa nyeti, nimeamua kumuacha

    Mwanamke una roho mbaya wewe ngoja na we uumwe uachwe ndio utajua ulijiumba mwenyewe au
  8. NEREA

    Bae niongezee hela ninunue S9+

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli
  9. NEREA

    Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

    Huyu alishakuwaga demu wa chidbenz
  10. NEREA

    Mrejesho: Fumanizi lilivyofanyika na nina ya kusema hapa

    Sasa we samwel una wake wangap na yule wa chips za mud na huyu ulie mfumania
  11. NEREA

    Ukitaka mwanao/mdogo asiwe na kibamia soma hapa

    Kumbe umekuja kuyaongea huku si ungeniambia tu kilichobaki ni kukuloga tu tukose wote haitasimama hiyo inayokutia kiburi mpka siku unafukiwa
  12. NEREA

    Jingle za christmass & new year zinanirudishia maumivu niliyoyapata mwishoni mwa mwaka jana

    Sasa ikawaje malizia saiv unae mwingine au ndio upendi tena
Back
Top Bottom