Leo utahonga laki, kesho atataka dola.
ukimnunulia mishkaki, atadai na kijora.
yani hawasomeki, ni nyingi zao hila.
michekupo hawaridhiki, zitaisha zako hela.
Utampeleka samakisamaki, ila nyumbani hawajala.
Utamkodia pikipiki, ila mkeo daladala
utampeleka Denimaki, kama mtoto wa Kajala...