Tungo: kitumbua Cha asubuhi

Tungo: kitumbua Cha asubuhi

nentewene

Senior Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
144
Reaction score
94
Kitumbua cha asubui, kina raha yake.
Watoto wadogo hawajui, kinavyotutoa upweke.
Usiombe kikiwekwa tui, utakula usichoke.
Ninyime vyote asubui, ila kitumbua ukiweke.
Usikifunike baibui, ukafanya nikisake.
Kwako wew mie hoi, nipe usinichoke.
 
Morning glory...
Na hali ya hewa hii, umkunje mtoto wa mtu kama samaki.. 😋😋
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom