kwakweli kikubwa kabla sijaoa nilikuwa naamini ndoa ya mke mmoja..sasa hali ya ndoa imenichanganya mno. ndoa za kikristu sijui kama jambo hili watakubali tuachane..kama yupo pastor au padri humu anieleweshe tafadhali. Kingine mwenyewe anafikiri kuwa siwezi kupata ugonjwa kabisa jambo ambalo si...
ahsante sana ndugu kwa mchango wa mawazo..sikuwahi kuwa jamii forums ila nilikuwa na mawazo mengi mno ndio ikabidi nijiunge jana ili nipate msaada wa mawazo. wapo wansodhani nilioa tu bila kufahamu historia yake..la hasha ni mtu ambaye hungeweza kudhani ana matatizo na anafanya kazi zake kwa...
nichofikiri ni kuongea naye aishi tu nyumbani kama vile familia inapokuwa na mgonjwa wa ukimwi yoyote..huduma zote atapata ila kusex hapana! sijui atachukuliaje maamuzi yangu ila kwakweli nishaogopa kumgusa kabisa. pia sijui itakuwaje mahusiano yetu kwani ni kweli nataka mtoto.
kaniambia alipopatia ugonjwa ni kwa boyfriend wake wa zamani kabla yangu..na kinachoniumuza sana mke wangu hakuniambia miaka yote miwili kuwa anatumia dawa na ameathirika hapo ndio napaona penye kosa..uchumba tulikaa mwaka mzima na ana tabia nzuri tu na hakuniambia chochote ila ugonjwa alipata...
tulipanga apate mimba baada ya miaka miwili na ndio muda ulikuwa umefika..ni jambo la kushangaza kwani alikuwa anapata homa kama mara mbili ishatokea mimi nikawa nadhani ni kawaida vikatoka vipele vya homa mimi nakiss kama kawaida..na pia kusex ilikuwa ni karibu kila siku na michubuko hadi mimi...
mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana
Nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta,mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013.
Nimepima mara nyingi sina virusi hata leo nimepima. Yeye ananipenda ila nimeingia hofu naogopa mno hata kumgusa.
Nifanyeje wakuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.