Nilishaandika kuhisu mambo waloyofanya wakati wa uchaguzi 2015 hapa..chadema na MBOWE kwa ujumla hawatakiwi hata kupita nje ya ikulu sembuse kuisshika dola
Ni kilometa chache tu kutoka chamazi complex ilipo.kwa kifupi hii barabara ina historia.wengine wanadai ni pesa zilipigwa enzi za JK.
ni barabara ya kwenda chanika eneo la mjini kabisa.ni barabara yenye wakazi lukuki
Sio makazi mapya.
Tangu enzi za mapa wanapiga danadana kuotengeneza na wakazi...
Eneo la barabara wala halijaguswa kabisaaa.
Na hifadhi ya barabara ni kubwa sana.tatizo hii barabara magari yanapita mengi na watu ni wengi ila barabara ni mbovuuu hakuna mfano.
Akili zenu chadema wote zinafanana.mmewanyima watu uhuru wa kugombea nafasi kwa maamuzi ya watu wachache tunawasubiri na mwakani.
Na hata mwakani msipozingua hampati hata kiti kimoja bungeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.