Recent content by Nendeni Veta

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT

    We ulisikia wapi,mtu mwenye mapenzi ya chama chake akashitaki Kwa msajili ,hao ni mapandikizi shtuka ndugu, nandiomana nasema ccm hawana shida,Bali shida kubwa ipo upinzani kwenyewe wanajali matumbo Yao na vyeo vyao kuliko mustakabali wa nchi yetu,hebu fikiri vyama vyote nchi nzima vingesusia...
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT

    Kuna kale Kwa bwanamdogo kanatokea kigoma kale kabembe kanaitwa Nondo sijui kalisema katalinda kura ,sasa wameshindwa kumlinda mgombea wao,watalinda kura za Nan sasa,NRNE
  3. N

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Kwan huyu naye ni mjibu hoja basi,yeye anafikiri kanisa katoliki ni kanisa linalo elea juu juuu,ange bahatika kulielew hata kidogo asinge bwabwaja huo ushubwada wake.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Huyu jamaaa atakuwa kavimbiwa numbu,sio bure 🤣🤣🤣🤣
  5. N

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Tena ponjoro wa chama kabisa 🤣🤣🤣🤣
  6. N

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Wakati unaandika hiyo barua utakuwa umelala au unakoroma? Brother Kwan na wewe ni ponjoro ?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Lodge za Msamvu Morogoro zimejaa kunguni balaa

    Halafu Hilo ni tatizo sugu la miaka mingi sana miaka Tisa iliyopita nimelala msavu hapo hao kunguni walikuwa ni balaaa Ili bidi niamke nikae kwenye bado kungunguni wananifuata ilikuwa ni balaa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nimeota:Ameamua kuachia kijiti

    Imbombo ngafu fijooooo
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

    Kama itatokea hivyo basi kweli wewe ni mtu wa mfumo🤣🤣🤣🤣
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Duuuu we jamaaa mchochezi🤣🤣🤣
  11. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55: Kundi lote wameonekana ni matapeli na wamenyimwa Ufadhili

    🤣🤣🤣🤣🤣 Kina ubwabwa wapya wako hoi bini taaaaabani
  12. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Ndugu msamehe tu kichwani ni mweupe huyo kakurupuka tu kutoa comment Toka lini mahakama ikaingia mtaani kukamata watu wasio kuwa na kesi
Back
Top Bottom