Recent content by Nemo

  1. Nemo

    Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    We zoba address the issues brought forth, ama la, acha kuijaza server ya watu with your useless babble. Several times mtoa mada amesha kanusha kuwa humjui, na yeye siye huyo unaye mdhania; Instead of being an adult, move on, ujikite kutoa mawazo on the topic at hand upo unang'ang'ana na...
  2. Nemo

    Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    We jamaa inaelekea ndio wale wale toxic idiots wenye elimu za ku cram How does the existence of student visa on someone's passport or lack thereof nullify someone's education credentials? For one.......................................... Kuna watu wana ondoka na visitor's visa, wana struggle...
  3. Nemo

    Tulikubaliana tuwajengee wazazi, ndugu zangu wameniachia ujenzi peke yangu

    Sorry man! Anyways, Nimesha kutumia message PM. Hopefully utaiona
  4. Nemo

    Tulikubaliana tuwajengee wazazi, ndugu zangu wameniachia ujenzi peke yangu

    Hongera sana mkuu, mdogo mdogo mungu atakusaidia utafika. Hata mimi ningependa kukuchangia dirisha moja, kama una namba ya mpesa njoo private message
  5. Nemo

    Nilidisco chuo, naweza kuomba tena mkopo?

    Nilijua deni litakuwa around 1-1.5 M nijaribu kukufanyia harambee from friends and my work colleagues . I never imagined a 4 years finance degree nyumbani ni 20M :(Duh, Pole boss, nisamehe bure I had no clue Uni za Tz ni bei ghali hivyo!
  6. Nemo

    Nilidisco chuo, naweza kuomba tena mkopo?

    Aisee pole sana, kwani Asilimia 25% za mkopo unaodaiwa ni shs ngapi?
  7. Nemo

    Kwanini uliamua kuachana na mshikaji/rafiki/swahiba/shost ako baada ya urafiki wenu?

    Alikopa, halafu kulipa ikawa mbinde, na kupewa na maneno ya kejeli juu! Life lesson #101, never ever lend money to a friend! unless ni amount unayoweza kusamehe.
  8. Nemo

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Gate to Mandara was OK Mandara to Horombo was quite taxing. (Jua, Makongoro na mawe everywhere) Horombo to Kibo was OK though we got rained on Kibo to summit ni Kimbembe!!!!!!!!!!!! Plus, since it was late at night, there was also "usingizi" to contend with.................aaaaaaaaaaargh.
  9. Nemo

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    It was quite an experience. Ila tulikumbwa na balaa la altitude sickness(nausea and upset stomach), tulipokuwa tuna summit. We ended up stopping the trek at 5400m.
  10. Nemo

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    So we ended up calling quits at 5400m, about an hour or so to Gilman's Point due to Altitude sickness. In my humble experience the climb from Mandara to Horombo and Kibo to the summit were the hardest... zingine zilikuwa powa Ila sijafa Moyo. I am contemplating giving this a do-over as My BF...
  11. Nemo

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Inshallah, my cousin and I are scheduled to go Dec 28- Jan 2. I have been training and I am praying my body iniruhusu nifike mwisho. Otherwise, all this gear tumenunua, let a lone pesa za kupanda will be a real waste!!!
  12. Nemo

    Kwanini maajabu ya mimea iliyo Mlima Kilimanjaro ushangaza wazungu

    Interesting......................mimi Dec nategemea kupanda Kili, fingers crossed nifike huko juu nami nijionee na kupata selfie mbili tatu.
  13. Nemo

    Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

    Sawa, nipo nimefika. Ma sister, talk to me oo
  14. Nemo

    Ni kipindi gani kigumu ulishawahi kupitia ambacho kilikupa hasira ya kutafuta pesa kwa nguvu?

    Hamna neno, natumaini ukifanikiwa kuna siku na wewe you will pay it forward na kumbariki mdau mwingine ....
Back
Top Bottom