Recent content by Nelson noe

  1. N

    PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

    Ndo watu anao wategemea Hawa ukiuliza vtu vinavyo eleweka unaonekana chawa ndo tatizo la unyumbu Hilo
  2. N

    PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

    Amna alieteseka anatakiwa aseme vitu vinavyo eleweka
  3. N

    PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

    Wewe unaomba usogezwe watu wapo kwenye maandalizi tayari na anaomba kama nani wakati WENGINE wote wanajiandaa na uchaguzi ivi vitu angefanya BAADA ya uchaguzi ILI kuitafuta reform sio MWAKA huu kwisha feli
  4. N

    PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

    Niudhurie ya nn MTU anasema mtakiwasha hana ata rungu na polisi wapo JE alikiwashaga Lini na ni Tanzania ipi iyo utakayo kiwasha kwa watu wapi hao watakao toka Amna ktu kama icho ashafeli mpaka apo anachofanya n kelele zisizo na matokeo
  5. N

    PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

    Na wewe unaamini iyo tume huru utaipata MWAKA huu naje uchaguzi mtauzuiaje ni maswali mepesi mwambieni lisuu aseme uchaguzi unazuiwaje
  6. N

    PreGE2025 Wanaojiita G55 wasiondolewe CHADEMA, bali waitwe waulizwe kwamba tunawezaje kushiriki Uchaguzi kwa Mfumo huu na Tukapata Haki

    No election haiwezi kutokea Tanzania hii kwa sasa akina lisu waseme watauzuiaje uchaguzi JE ni kwakupitia watanzania Hawa Hawa na polisi Hawa Hawa waliopo au watauzuiaje
  7. N

    Kama CHADEMA ingekuwa CCM, ni wazee gani wanaweza kuunda Baraza la Ushauri la Wazee?

    Faida ya hao wazee wa ccm ni ipi mbona hainekani watu wanachota pesa tu na hao wapo
  8. N

    GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Kinyonga kazini chezea mzito kabwela
  9. N

    Habari na Picha: Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania ulivyofana.

    Mbona kama mkutano wa mbeya city uo au zito kaama simba kama maruwe ruwe vile naona
  10. N

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    Iyo act ni nini? au ni tume hurumpya ya ukaguzi wa hesabu za serikali mbona sielew
  11. N

    Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    Hahahahhahahahah poleeee Peopleeesssssssss
  12. N

    Nina mtaji wa Tsh 1,500,000, nifanyaje ili kuizalisha?

    Ntafute ntakwambia cha kufanya ukiwa tayari ncheki
  13. N

    Natafuta eneo la kufungulia mgahawa

    Natafuta eneo la kufungulia mgahawa kwa Dodoma mjini au moshi mjini au arusha mjini kwa anaejua eneo lilipo. Naomba tuwasiliane
  14. N

    Natafuta eneo la kufungulia mgahawa

    Kwa waliopo Dodoma mjini naombeni ushirikiano wenu na yeyote anaejua mahali kuna eneo moshi au arusha tuwasiliane Tafadhali naombeni ushirikiano wenu
  15. N

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Mimi in mkazi Wa arusha Nina wazo la kufungua mgahawa na Nina mtaji Wa tsh 800000 je itatosha au niifanyie nini.
Back
Top Bottom