Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Ni wapinzani Gan ambao hawapo kwa ajili ya taifa?
Mbona kwenye esrow aliwaappreaciate kwa kumuunga mkono kwenye jambo nyeti la taifa?
Acheni kutugawa watanzani tena mkome.
Eti fulan mdini tupe ushahid wa udini wake?
Nyie mnalia udini na ukabila ndio mnaofanya watu wa sehemu Fulani kukichukia chama flan kwa maneno yenu yasiokuwa na usyahi.
 
....mnafiki ni mtu
mwenye nyuso mbili (ndani yake na nje
yake ni tofauti) na alama zake ni tatu...

(1) AKIZUNGUMZA HUSEMA UONGO

(2) AKIAHIDI HATIMIZI AHADI

(3) AKIAMINIWA HUFANYA KHIYANA
 
naamini sasa masaa 24 ni mengi sana kwa mwanasiasa but ni magumu sana kwa washabiki na vitimbakwila wa siasa
 
SOMENI THTREAD NYINGINE YA HUMU JF ZITO KUGOMBEA UBUNGE 2010

hii thread ilichangiwa sana kama hii, hapo alianza kudai hatogombea 2010 na akaja akagombea ili mpate flavor nzuri iwekeni hiyo thread hapa ipo humu jf
 
Hahaha huyu jamaa ni bingwa we kutoa kauli mbali mbali na baada ya kipndi kifupi anasahau alichokuwa amesema...nihuyuhuyu alisema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema
 
lakini pia alisema watu wa Geita wanamuomba akagombee huko....alipoenda kunadi chama chake shughuli aliiona

Alisema kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka vyama vingine wanaomba kujiunga na ACT lakini mpaka leo siwaoni

Alisema wabunge wote wa upinzani toka kigoma ili wadhinde uchaguzi ujao lazima wajiunge na ACT lasivyo watashindwa...nasubiri uchaguzi ujao nione

Alisema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema hapa sijui alimaanisha nini....



JAMAA HAAMINI ANACHOZUNGUMZA NA ANAZUNGUMZA ASICHOAMINI.

Huyu ni kinyonga, ni mtu wa hovyo. Sijawahi kuona mwanasiasa wa hovyo kama huyu. Ni muongo halaf mpenda sifa. Mwenye akili hawezi kuhangaika nae
 
Mtu complex hawezi toa maelezo mepesi kiasi hiki,kwan mbunge hawezi kufundisha???!!!!
Si anakaa Dar jimbo lipo Kigoma sasa atashindwa kuishi Mwanza kwenye vyuo na aendelee huko kanda ya ziwa???!!

If this is true ,he should come out clean!!!!!

Kwa uwezo wake na matumaini ya baadhi ya watu juu yake ni sawa na dereva kugomea safari katikati ya msitu!!!!

Aseme safari ngumu.??????
Gari bovu????!
Uwezo wa kuendesha umeshuka??!!!
Konda na tanboi hawampi ushirikiano safarini???!!!!
Nia ilikuwa sio kufika???!!!
Alitaka tu kuonekana akilitoa basi kituoni????!!!!!
Alitaka kuendesha magari katika kampuni ya kimataifa ila ilikiwa ni lazima aendeshe basi kwanza???
Fortunately sasa rangi yake imeonekana.
Ni mwongo, ana kauli tata, hana msimamo in that case, anapenda siasa za kuyumbishana, anapenda coverage ya media hata kwa kufanya au kuongea kitu chochote.

Hii ilikuwa 2013 tu, 2009 aliongea mengine tena, na hakufuata hata moja.
 
Kweli siasa ni kama upepo wa kaskaz -kusin,leo jamaa anaonekana mbaya!,kipindi flani alionekana shujaa!..
 
Back
Top Bottom