Mimi wala siwez kushangilia wala kushangaa anachopost maana km nikiwa nimemfollow inamaana nahitaji kumsikiliza na kuona anachofanya kupitia mtandaoni, so unakuwa mfuasi wake kwa namna moja au nyingine, bisha au ukatae ukimfollow mtu unamaanisha kuwa unahitaji uone na usikie anachokifanya...
Kana kwamba ni kosa au nini, maana kaandika kwenye page yake wala sio kwenye page ya news na hajamtagi mtu mwingine asiyehusika na hiyo post, so NYIE mliomfollow kama kondoo wake mnatakiwa mfurahie kila anachopost, km hampendi mwambieni asikie au asome ili iwe na effect sasa kumdiskasi humu...
Maajabu gani mnataka, huyo ni binadamu tu km wewe lakini kashafanya maajabu yanayofanywa na kila mwanamke duniani...kazaa mtoto...ndo maajabu yake hayo, maajabu mengine wamebarikiwa mitume na manabii, wakuu mna wivu hata kwenye maisha ya ndani ya wengine
Zanzibar ina watu km nyie mnaopenda kusema muungano wa dhuluma, hatukuwepo kwenye pilika za ukombozi dhidi ya wajerumani na masultani wenu waliokuwa wanapitisha na kuuza watumwa kwa wakoloni, kwahiyo kuna mikataba iliyoingiwa kati ya tanzania bara na visiwani na kuna mambo ya muungano na yasiyo...
Mi mtanzania, hiyo tanganyika naijua kwa historia tu, nchi ikipata uhuru na kuzaliwa upya hamna haja ya kushikilia past tunaishi tanzania sio tanganyika, mi ni mtanzania
IST iwe ya kuhongwa au kununua ni swala la kigezo cha mnunuzi au mhongwaji, gari ni gari tu hata uidharau vipi hiyo unayoisifia haitembei chini ya maji kama manowari wala haipai kama ndege, wala ikipiga mzinga hutoki salama, sasa kudharau kitu kinachofanya kazi sawa sawa na kingine ni upungufu...
Ni wivu tuu huo mkuu, kila mtu ana haki ya kupenda alipopenda kwa hisia zozote atazotumia, mbona hujiulizi nyimbo za duniani 80% ni za mapenzi kuliko za aina nyingine, hayo mapenzi tu mkuu sio ufala,
Ahaa ok, japo sio swala la uhakika sana, mi naona ni swala la unafuu tu wa kulimiliki, sio kila mtu wa kawaida anayeweza kumiliki cruiser, rovers na jeeps, vigari viduchu duchu hivi ni cheap kuvioperate
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.