Recent content by Nellyonjolo1

  1. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio animation movies kali ambazo sio za kukosa

    Yes ninayo
  2. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio animation movies kali ambazo sio za kukosa

    Mkuu nakupataje? Nahitaji hizi
  3. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mkasa wa kifo cha utata cha mwanamke wa Isdal ulioishangaza dunia (sehemu ya 1)

    Hakuna movie ya hii story?
  4. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Hakika Siku zaja tutamkumbuka Jakaya Mrisho Kikwete

    Omba ushauri kabla ya kutumia kitu kipya
  5. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    MASWALI NA TADHIMINI KUHUSU PRESS YA DR. SLAA TUNASHAURI KAMA ALIVYOSEMA ANA USHAIDI BASI AENDE MAHAKANI. KAMA YEYE MWADILIFU MBONA ANA WAKE WAWILI. ALIKUA WAPI SIKU ZOTE KAMA HAKUKUBALI UJIO WA LOWASA? KALIPWA HELA ATUGAWE WATANZANIA. TATIZO NI KUKOSA KUPEWA KUGOMBEA URAIS...
  6. Nellyonjolo1

  7. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Kumuweka bamdogo kugombea Urais, ni kwa maslahi ya wachache na sio Taifa

    Hahaha.. ni sheeda.. nchi ya ahadi hii
  8. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Hahaha.. umetisha mkuu. Nilijua una simulizi
  9. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

    Sababu yao kuu ya msingi sana itakuwa baridi tu. si vinginevyo
  10. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

    #teamSimba laiti mngeipata hii nafasi msingetuaibisha
  11. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Starlet inauzwa Mwanza kwa bei poa sana

    Lugha za kitapeli hizo
  12. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Ni Ubunifu wenye manufaa

    Uvivu tu
  13. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Msikurupuke kununua ps4

    What is the use of AV to HDMI cable? Usiwatishe watu bana. Converter ziko kibao
  14. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Top 5 best choruses of all times: List ya choruses bora zaidi kuwahi kufanywa

    Tazama ramani - kwenye chorus huwa napaza sana sauti
  15. Nellyonjolo1

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa UKAWA acheni kutetea "maslahi" ya askari wa Jeshi la Polisi nchini

    Unadhani bila kutetea maslahi yao wataachwa kupigwa. Mimi naona wanatumia njia sahihi kwani kutumika kwa polisi kunatokana na maisha duni waliyokuwa nayo. So njia pekee ni kuondoa njaa kwa mapolisi
Back
Top Bottom