Recent content by Nelly9

  1. N

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Binafsi nimewahi kukutana na hawa wadudu WABAYA doctors kwenye anga zangu Mara tatu Mara mbili nikiwa mchuo kama ulivyokua wew Mara moja nilipokua kibaruani. Hyo ya chuo ilikua miaka hyo ya 2018 nakumbuka niliimwa sanaa ikapelekea kulazwa hospital fln hv ya private sasa aliekua ananitake care ni...
  2. N

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Nikupe pole sana bro .pole Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  3. N

    Nimesikia Misri chini ya Elsisi inatamani Hamas ishindwe lakini wanaiogopa Ikhwanul muslimiin

    Yan kuna mipumbavu kila siku hizbullah hizbulah Mara IDF IDF sijui na mitakataka gani mingne , fungueni akili nyie mbuzi
  4. N

    Nimesikia Misri chini ya Elsisi inatamani Hamas ishindwe lakini wanaiogopa Ikhwanul muslimiin

    Nyie wafia dini za watu weupe msio na akili hata kidogo , Je mtu anaweza kuishi hapa duniani kwa raha na mafanikio makubwa pasipo hizo dini??? Nyie watu kwanini mnawapambania watu wasio wapenda hata rangi za ngozi zenu?? Nyie mlitakiwa muoneshe kuumizwa na vifo vya waafrica wenzenu kule DRC na...
  5. N

    Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

    Kuna watu wanafurahia binadamu wengine kuuawa tena kikatil kisa tu mihemko ya kidini ,acheni uhuni jamii ya waarabu pale middle east hasa Palestine wanapigwa kila upande na wanaangamia mamia kila cku ,wew unaeshabikia hii vita huna akili .
  6. N

    Benjamin Mkapa Stadium. Je mabango ya matangazo ya umeme yameacha kufanya kazi?

    Ata mm nlikua najiuliza sana imekuaje hayafanyi kazi tena inaonekana kama ni shamba tu la maboga
  7. N

    Taliban baada ya kuistuwa dunia kwa kumchapa Mmarekani Sasa wameistuwa dunia ya Magari

    " it's powered by MODIFIED Toyota Corolla engine " mwisho wa kunukuu. Nikajua mpaka engine wamesuka wao kumbe wameiba kwa kina takashi Inui
  8. N

    Israel yaanza Majaribio ya Kujaza Maji ya Chumvi kwenye Mahandaki wanamoishi Hamas, Marekani yatetemeka!

    Mayahudi makatili sana aisee, dunia nzima hakuna alipeleka pua kuwasaidia Palestine pale gaza wanabweka tu
  9. N

    Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

    Cjaona mkiumizwa na vita vya sudan na congo Drc kwani na kule watu wanakufa sana. Mpo busy mashariki ya kati
  10. N

    Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Hii full moon tunafata utaratibu gani?
  11. N

    Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Yeah hii niliwahi kuiskia pia ila naomba kujua kama uliwahi kujaribu
  12. N

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Hyo haina shida mkuu ata mm hyo freshi kabsa ila sio yule mwamba analambwa mnduku dah laa haula!
Back
Top Bottom