Taifa limepoteza dira, watu wamekuwa kama wanga kila kona watu wanakata majani ya miti mbalimbali hili yajivukize... Hii si sahihi kabisa,
Virusi vya Corona hadi sasa hakuna tiba wala chanjo, huwezi pona Corona kwa mvuke wa majani ya miti ambayo kiuhalisia haujui yanatibu nini.
Mvuke ukiingia...
Habari!!
Kumekuwa na tabia kwa wanaume wengi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au kuwacheat wapenziwao!
Wanaume wamekuwa na sababu mbalimbali za kufanya hivyo!!
je, we mwanaume mwenzangu, ni mambo gani tunapaswa kufanyiwa na wapenzi wetu ili tusiwacheat?
Tililikaaaaaa!
Kuna uwezekano wa kufanyiwa uchunguzi zaidi wa kitabibu, daktari akigundua ni jinsia ipi inanguvu zaidi anaweza kukushauri ile dhaifu ikafungua ( operation), kisa ataamua aidha kuoa au kuolewa kutegemea jinsia gani itayokuwa imebaki yenye nguvu zaidi.
Niacheo uongo gani sasa, kuna aina nyingi sana ya hizi dawa sokoni... Kampuni ya dawa ya Cipla inaingiza dawa inaitwa Erecto, 50mg,100mg etc, madawa ya yalilenga watu wenye matatizo ya nguvu za kiume hasa wenye kisukari ( erectile dysfunction) kibaya sasa vijana na wazee wasio na hii shida...
Side effects kuu Ni Anatomical and psychological, anatomical effects Ni kuwa hudhoofisha misuli ya uume, erectile Muscles, hii huufanya uume kuwa dhaifu mno na kushindwa kusimama kwa mida mrefu.
Psychological effects, humfanya mtumua kujijengea hisia kuwa pasipo hizo dawa hataweza fanya lolote...
Kuna aina nyingi ya dawa zinanazotumiwa na wanaume kuongeza nguvu ya kufanya tendo la ndoa,
Dawa hizi huongeza mzunguko wa dama kwenye uume na kuufanye usimame imara kwa muda mrefu.
Mwanaume anapotumia dawa hisi hasa pale anapokuwa hana tatizo la kudumu la upungufu wa nguvu za kiume, hujisikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.