Recent content by neggirl

  1. neggirl

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi - Binti wa Kuuza Hardware

    Nafasi bado ipo wazi. Tate Mkuu hapa hakuna hizo mambo. Pole kwa aliyopitia huyo binti
  2. neggirl

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi - Binti wa Kuuza Hardware

  3. neggirl

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Mkuu hapo kwa kutunza ndani usubiri bei ipande kwa cement..nina dought. Huwezi predict muda bei itabadilika na hii ni bidhaa inayoharibika. Wakati mwingine mfanyabiashara anaponea pale inapokuwa kinyume chake..umenunua nafuu, bei imepanda ghafla una panda nayo. Na hii inatokea sana kwa cement...
  4. neggirl

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Mkuu hujamaliza comment Yako.. ipi ya kisasa na yenye matokeo mazuri
  5. neggirl

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Mkuu ungeshare hapa na wengine tujifunze. Niko interested
  6. neggirl

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Helo Jane Msowoya kwa uzoefu wako tally na quick book mfumo upi unaweza kumudu biashara yenye vitu vingi na aina tofauti kama hardware na supermarket?
  7. neggirl

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiume wa kuuza Duka -Hardware

    Ngoja waje mkuu
  8. neggirl

    JamiiForums Tanzania Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

    Hatari sana. Hata ikitokea mmekula pamoja. Mkono moja kijiko mwingine simu.
  9. neggirl

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

    Mkuu Jayfee wapi napata twiford kwa bei ya jumla -Dar es Salaam? Kwa ajili ya biashara.
  10. neggirl

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Barikiwa..asante sana
  11. neggirl

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Pendaelli Nakushukuru sana sana kwa madini haya. Hapo kwenye mashine kubwa unamaanisha sio lazima niwe nazo naweza chukua mbao mfano zimerandwa tayari, na workshop nikawa na randa ndogo ya mkono?
  12. neggirl

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Habari wakuu, Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
  13. neggirl

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Fundi wa milango na Frame za Milango ya Mbao

    Habari mkuu, nataka kutengeneza workshop kama hii; naomba muongozo kama ulifanikiwa. Eg. Mashine zipi muhimu nahitaji, mambo ya kuzingatia n.k Product ni milango na frame tu.
  14. neggirl

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia mbao za paa kubunguliwa

    Nafuatilia
  15. neggirl

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Dr hebu funguka zaidi. Sawa Excel kuwa nayo Google drive au offline.... hii inaweza kweli kusaidia ku manage stock ya vitu vidogo vidogo either kwa kupost weekly au daily? Kama ndio hebu fafanua please. Yaani ikuwezeshe mfano: kujua stock iliyopungua sana na inahitaji kuongezwa, taarifa ya...
Back
Top Bottom