Recent content by negger

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

    wana jf makini jiadharini na mamluki.Humu kuna mapandikizi ya Magamba club wanajifanya kukandia kila point inayo wahusu viongozi wajao wa tz kuanzia 2015.kila ukisema dr.silaa wanakaba na kuponda ili kuwakatishaa tamaa wana jf makini.kuweni makini hamko peke yenu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tamko la wakristo kuhusu machafuko na hali ya vitisho Zanzibar

    we ni miongoni mwao hao wanaoleta fujo?kwani Dr. Sheni alikuwepo wakati mipango inafanywa au nikuzibue??
  3. N

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhibiti u.t.i mwenyewe..!

    Nimetumia dozi tatu za u.t.i kila nikipima iko palepale 40/60 nifanyeje hapo maana naona kama hayo masindano hayatibu au ndo dawa feki hizo?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kama Hukutumia Hii Kitu Wewe sio mjanja bado!

    aah sana.Hii ni for men....wadada walitumia YOLANDA
  5. N

    JamiiForums Tanzania John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    aaah watu wa namna hii hakuna hta haja ya kuwajadili....embu leteni topiki nyingine bhana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya nini?

    tembo apendi kelele.ukipiga honi na less kali anasepa
Back
Top Bottom