*Do not email poster - follow link to register and for further queries*
COMING SOON: launch of FinScope Tanzania 2017
Tracking a decade of financial access and use in Tanzania
FinScope Tanzania 2017 is the fourth in the series of widely acclaimed surveys that measure the demand for and...
Shida yetu Watanzania ni kutosoma instructions na kufuata. Kila mahali uendapo kuna policies na procedures ambazo you have to adhere to. US Embassy has some of the most stringent procedures in terms of employment and immigration in order to ensure that only the deserving people get through...
Sisemi kuwa unapotosha, ila katika site ya IELTS inaelekeza kuwa kuna test centre moja tu Tanzania, na hiyo ni British Council. Mi mwenyewe ilibidi nifanyie hapo hapo. Anyone can follow the link below inayooonyesha testing centres za IELTS all over the world. Huenda ya St. John ni certification...
Afadhali ujulishe watu! Wakiulizwa walete results za IELTS waanze kuleta vya St. John itakuwa noma na aibu juu yake. Watu walio na experience it's always good to educate your counterparts. Na nyie mkiwa mnaelezwa ACHENI UBISHI! ni katika kusaidiana, ama?
Pole sana. Naweza kuelewa kwa nini ki psycholojia hii inakusumbua sana tena sana. Hata ingekuwa mtu mwingine yeyote mwenye roho ya nyama lazima ingekuwa issue. Sasa sababu umetuuliza tukusaidie na mawazo I want to also offer my two cents. Umeonyesha kuwa bila kumjulisha baba yako utakuwa...
It's not about completing the test. The whole reason is that they are looking at speed and accuracy but also your intelligence to jump the ones that you find tough and tackle the ones that are in your scope so as to raise your scores. Yaani hiyo ni kwa aptitude test ZOOOTEEEE duniani si hii tu...
Well done for being called for an interview. On another note, ukiandika neno God au Mungu kwa heshime huwa ni vizuri uandike herufi ya kwanza na capital letter, as in God, not god. god with lowercase kwa kawaida inatumika kwa miungu. Nakutakia mema yooote kwenye interview. Utujulishe basi habari...
:-) UPDATE - I received the goods safe and sound! Nadhani waliona huyu dada kasheshe always mme wangu alikuwa pale posta. Imebidi tu wakubali! Amen. Thanks for the sound advise.
Get a life! Almost every word has an acronym that could point to other view points. What matters is what your understanding of it is. so YOU BE CAREFUL and got over the conspiracy theories!
Kwa sasa hii ni mara ya tatu ya mzigo wangu kutoka nje kupotea posta kwa hali tatanishi.
Nilianza kutumia posta miaka kama minne iliyopita na mizigo haikuwahi kupotea. Ila kama miezi minane iliyopita kuna mambo very strange happening.
Niliwahi kusikia watu kupoteza mizigo ambayo haina tracking...
Pole sana, inauma sana kumpoteza mwenzi wako. Ila be very careful. Huu si muda wa ku rush into making decisions. You could find you have made a wrong decision which is hard to reverse. Ninaamini ulimuomba dada aishi na wewe na kutunza mwanao sababu ulikuwa na imani naye. Tafadhali kaeni vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.