Recent content by neema niwagila

  1. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumtolea mahari, kejeli na kiburi vimeonekana wazi

    Binafsi nakushauri achana naye huyo make hawezi kubadilika.Watu wengi hujifariji kuwa mchumba atabadilika baadae kitu ambacho si kweli.Hicho ni kilio chako maisha yako yote.Hivi kama hujamuoa yuko hivyo akivaa gauni jeupe na pete ajue kakumiliki atakufanyia makubwa zaidi ya hayo.Kuacha kunauma...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukweni wanakatalia mtoto wangu, nisaidieni mawazo wakuu

    Kweli kabisa.Kumlea mtoto ni gharama kubwa hata hiyo milioni ni ndogo sana.Cha kufanya watafute wazee wakaongee angalau wakupunguzie ila hakikisha unamchukua mwanao ili akue na wenzie na apate mahitaji yake ya msingi na upendo wa baba.Ila mwakikishie mtoto ulinzi pale atakapokuja kwako ili step...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Yanayosemwa Kwenye Magroup ya Wana CCM

    Mbavu zangu[emoji23]
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani akilifanya mpenzi(mume/mke) wako hautamsamehe?

    Utamjuaje sasa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa mpenzi, mchumba, kimada, hawala,demu wako si kahaba?

    Hahahaa.Afadhali umenisaidia
  6. N

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa mpenzi, mchumba, kimada, hawala,demu wako si kahaba?

    Hiyo science yako ya wapi baba? Usipotoshe umma
  7. N

    JamiiForums Tanzania 'Gucci' Grace Mugabe alikuwa anachepuka na mawaziri vijana

    Hahaha[emoji85]
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nina mahusiano na mama wa miaka 56; nimeanza kuhisi amenifanyia kitu

    Hahahaaa.Mbavu zangu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Unadhani amri ipi ya Mungu ikifutwa utaenda Peponi?

    Nimecheka kwa sauti
  10. N

    JamiiForums Tanzania Makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wakamatwa Dar, Wafikishwa Kisutu

    Hahahaaa.Nimecheka kwa sauti
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya baadhi ya wanaume sio nzuri, badilikeni

    Mimi naweza kumlaumu huyo mwanamke wa Jackson sababu angekuwa mke mwema angemshauri mpenzi wake na angefanya juu chini kuleta mabadikiko.Ndio maana Mungu akamuita msaidizi.Tunapoolewa tunakuta mambo mengi pengine yasiyopendeza lakini taratibu kwa ushauri na kumwonyesha mume wako upendo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

    Kitila ni mnyiramba so hawezi gombea kwa wanyaturu.Hawa watu wana ukabila
Back
Top Bottom