Wakati Wa Kugombania Uhuru,viongozi Wengi Walivuka Mipaka Na Kufanyia Harakati Nje Ya Nchi Kwa Sababu Za Kiusalama,
Ccm Ni Wakoloni Weusi,ni Hatari Kufanyia Harakati Ndani Ya Tz.
Kopo Ww
Kweli Ww Akili Yako Imeungulia,malawi Wana Resources Zipi Kulinganisha Na Tz ?
Tz Kwa Rasilimali Tulizonazo Haikutakiwa Tuwe Hapa Tena LDC Kundi Moja Na Malawi,sababu Ni Haohao Ccm Na Uroho Wao Wa Kipumbavu,watu Wanachota Hela Wanaficha Kwa Maslahi Binafsi.
Mahakama Ya Rufaa Ilishafuta Hizo Immunity Kwa Raisi,vp ,pm Na Hata As, Tena Ni Mwaka Huu Huu,ww Upo Dunia Ya Wap,unaandika Tu Bila Kufuatilia Taarifa,,
Kama Upo Mbeya,kuna Jamaa Yupo Chunya,mbeya.Kuna Kipindi Alikuwa Anahitaji Vijana Wa Kazi.
Ila Ni Migodini Kwenye Dhahabu.
Kama Upo Serious,nikupe Namba Yake Au?
Mm Familia Yangu Yote Wamefika Na Wengine Wanaishi Dar ,lakini Mm Sijawahi Kufika Tangu Nizaliwe ,ila Kiuchumi Kwasasa Na Safari Za Nje Ya Nchi Hawanifikii Hata Kidogo. Na Sina Ratiba Ya Kwenda Dar,mishe Zangu Hazijanipa Route Hiyo.
Nmefika Angola,congo,zimbabwe,uganda,south...
Tumewahadaa Tu Kuwa Tutaandamana Tar 29,lakini Kiuhalisia Maandamano Ni Kabla Ya Tarehe Hiyo,na Maandamano Ya Kweli Huwa Yanaanzia Usiku Mnene Kuanzia Saa 7 Usiku,vyombo Vya Usalama Na Ulinzi Vikiwa Off-guard,
Kufika Asubuhi Wanakuta,mitaa Na Barabara Zote Ni Zimejaa Watu Na Ni Too Late To Handle.
Polisi Wana-Stress Sana,Polisi Wengi Mishahara Yao Midogo Na Inaisha Kabla Ya Tar15,baada Ya Hapo Ni Wanakuwa Kama Mazuzu,anaweza Fanya Lolote Bila Uwoga,hata Raisi Akijichanganya Anakula Mtama Safi Tu.
Team Ishapoteana Hiyo,alafu Nae Ferguson Astahafu Mazima Sio Anakuwepo Kila Mechi,anamnyima Uhuru Amorim,yaani Utadhani Amekuwa Kama Kikwete Anavyombana Sir% Kila Kona.
Man U Inazidi Kuzama ,wavumilie Kama Arsenal Na Liverpool Walivyosubiriaga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.