Recent content by Nebuchadneza

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, biashara ya Movie Library na Play Station (PS) bado zina soko kwa sasa?

    Kudownload kitu online inahitaji uwe na ujunzi maana site zipo nyingi sana na sio kila site zina movies hd,unaweza kudownload movies ikawa low quality au ikashindwa kuplaya kwenye TV,lila TV zinazotoka sasa lazima ujue code zake lasivyo utakuwa unawaza maji kwenye gunia,alafu kudownload movies...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, biashara ya Movie Library na Play Station (PS) bado zina soko kwa sasa?

    Ok nimewafuatilia comments za kila mmoja huku kunawanaojua vyema hii biashara na wengine hawajui kitu,hii business nimeifanya toka 2018 kipindi hicho naanza nilikuwa na computer ya quare 2 duo na external ya 1tb jumla nilikuwa na storage GB 1500 na nikianza kwenye kibanda cha mtu yeye pia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania GEN Z kizazi kilichobarikiwa sana

    Fanya yako jike shupaza
  4. N

    JamiiForums Tanzania GEN Z kizazi kilichobarikiwa sana

    1996-2010. Hichi kizazi kimebarikiwa sana,hakisubiri sijui serikali itoe ajira wanazama front wenyewe ni wapambanahi sana Wengi wao wanajitegemea sio kama sisi kizazi cha millennium bado tupo kwa wazazi jitu lina miaka 36 bado lipo kwa mama. Wengi wao wanapiga pesa simple sana sio mpaka watoe...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shirikisho la Wanaume Wanaopitia Changamoto kwenye Ndoa (SHIWACHANDO). Wajumbe watoa shuhuda

    Hlishirika wangeliita kataa ndoa tu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tusome alama za nyakati...

    Sawa nilisahau pia tumkumbuke MUNGUsiku za ujana wako
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tusome alama za nyakati...

    Habari za mda huu walimwengu? Nikiwa kama kijana mwenzenu Leo hii napenda tudiscuss jambo moja muhimu,tukiwa kama vijana tunafeli wapi na tunajisahau vipi?vijana ni chumvi ya dunia bila sisi dunia haitasonga wala watu hawataongezeka,maana sisi ndo wafanya kazi na wazalishaji wa watu duniani...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba

    Tatizo sio try again,tatizo ni mangungu. Try again alikuwa anamfanyia kazi moo na sio simba,sasa kama bado mangungu yupo simba shida ipo pale pale
  9. N

    JamiiForums Tanzania YAAN KILA MTU FB ANAUZA DAWA ZA KUTIBU SUKARI KHA MBONA HIV HAMLETI

    Dawa pekee yakutibu magonjwa yote mwilini kila siku asubuhi piga jogging tu hutak huumwe hata na mafua
  10. N

    JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez kutambulishwa leo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba

    bado hamjasema mpaka useme
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na umri gani?

    18
  12. N

    JamiiForums Tanzania Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

    Unapajua vinzuri kidatu kile kiwanda kinaitwa illovo nimeishi kwa baba yangu mdogo anafahamika kwa jina la matungira,miaka ile ya 2012 nikasoma udereva kwenye chuo hicho kipindi hicho nilikuwa nalima mboga na kufunga nguruwe daah umenikumbusha mbali sana,baba mdogo anapakana na mzee mmoja...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msemaji Yanga kazidisha utani. Hebu tazama picha na maelezo

    Subiri presha ya nini
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msimu huo unaisha, je wewe shabiki umeweka shingapi kwenye akaunti zako?

    Ikuingizie fedha namaanisha jala,jiwe,jax,mpunga,maokoto
Back
Top Bottom