Recent content by Ndwelo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Good,hii system itasaidia wanafunzi kutia makosa ya kuchagua course, kwani mfumo wa TCU wa kuchagua wanafunzi kwa awamu umewapelekea wanafunzi kuchagua course ilimradi aende chuo baada ya kukosa course aliyoipendekeza
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna walimu wa Sayansi

    Watu wengi wanasoma kwa lengo la kupata vyeti mkuu Hanna output ya kile walichokisoma,swala dogo tu lakufikiria miaka nenda rudi taifa letu la kubwa na bala la njaa,Sioni mchango wa science kwa hili Bali kilichokuwepo ni title tu, kuwa kuna science ambaye output yake haionekani,mf.science ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Angalia TBC: This week in Perspective

    Kwa jinsi hali ilivyo sasa ni maji ya mdomo sio shingo tena,vyeti Kwanzaa. .
  4. N

    JamiiForums Tanzania Shule za Dar kushika mkia matokeo ya kidato cha Nne, Makonda jitafakari na ikiwezekana jiuzulu

    Msaada wana Jf kuangaliziwa matokeo no hizi.S952/122 shule ni mangula sec na s2153/003,shule ni aqunus
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Wadau ninaomba msaada wa kuniangalizia matokeo ya form 4 no.hizi s952/122. Jina la shule ni magula sec.Na nyingine ni s.2153/0003. Shule aqunus
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kurisit na QT ipi bora?

    Kwa ninavyo faham mimi kuwa QT ni kwa mtu ambaye hajawai Fanya mtihani wa form 2 ndiye anaruhusiwa kuanza QT ila kuresiti ni kwa mtahiniwa ambaye ameshawai fanya mtihani wa form 2,hivyo basi yeye anahitajika kurisiti bt akomae kweli aache mchezo akikomaa ni rahisi atafaulu tu coz mm ni miongoni...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Poleni sana ndugu wafiwa pamoja na wanafunzi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mount Meru University

    Www. MMU.co.tz utayapata ndugu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Msaada nimechaguliwa mount meru university mwanza campus nilitumiwa SMS kutoka chuoni wakadai watanitumia admission latter kupitia e-mail Na box bt had Leo hawajanitumia msaada mwenye kukifaham vizuri hiki chuo
Back
Top Bottom