Recent content by Ndwanga

  1. Ndwanga

    Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    historia yenye mashiko hii yahitajika kila mtanzania kuifahamu shkamoo wakubwa!
  2. Ndwanga

    Tusikubali Bunge kuwa sehemu ya kuficha wezi...

    changamoto iko kwetu raia pindi inapofika muda wa kampeni za uchaguzi tunakubali kuvikwa miwani za mbao kwa kufanyiwa milipuko ya miradi ya kimaendeleo na pindi kampeni xinapo isha na sisi kuwapa dhamana ya kutuongoza kwa kutumia vigezo vya miradi hewa apo ndipo tunapo haribu. Hivyo wakati...
  3. Ndwanga

    Aibu katikati ya jiji la Dar es Salaam

    kosa la kiandishi katika
  4. Ndwanga

    Aibu katikati ya jiji la Dar es Salaam

    kwa hali hii wahusika waajibishwe kwa ubadhilifu wa mali ya umma
  5. Ndwanga

    Aibu katikati ya jiji la Dar es Salaam

    ilo nalo wazo naona ndio abari ya mjini
  6. Ndwanga

    Aibu kati kati ya jiji

    city center?? hii ni dalili ya watu kutokua waadilifu
  7. Ndwanga

    Aibu katikati ya jiji la Dar es Salaam

    hii barabara sio ya leo katika hali hii na nimiongoni mwa barabara inayotumiwa na viongozi hivyo ni ucheleweshwaji tuu wa maamuzi. Hali hii ni aibu kwajiji kubwa kama hili kua na miundo mbinu mibovu
  8. Ndwanga

    Aibu kati kati ya jiji

    Hatari sanaa ilo ni eneo korofi na kibaya zaid halina alama yeyote ya oyo ila lakufuraisha ni kwamba kuna vijana wameweka kijiwe kwaajili ya magari madogo yanayo kwama
  9. Ndwanga

    Aibu kati kati ya jiji

    Mshikaji kajikuta katika hali ya taharuki baada ya kutumbukia pasipo kujua katika shimo la maji taka lililopo pembezoni mwa jengo la HIDERY PLAZA posta
  10. Ndwanga

    Aibu katikati ya jiji la Dar es Salaam

    Katika hali isiyo ya kawaida nikiwa katika pitapita zangu za kujitaftia riziki nilijikuta katika hali ya mshangao pale nilipo kumbana na vijana wabunifu wa ajira zisizo rasimi ambapo vijana walikua wakifanya kazi ya kutoa magari yaliokua yakikwama katika shimo la maji machafu na kutoza fedha...
  11. Ndwanga

    msamvu kituo kikubwa cha mabasi ya mikoani ila hakina taa za usalama kwa abiria wakati wa usiku

    katika hali ya kusikitisha abiria wa nao tumia kituo cha mabasi msamvu Morogoro wanakabiliwa na hali ya hatari hasa kwa wanao tumia kituo hicho nyakati za usiku. Hili ni jambo la kusikitisha sana kwani kituo hicho kinatumiwa na magari mengi na yana lipa ushuru. Jambo la kujiuliza ni kwamba...
  12. Ndwanga

    Ajali Kigamboni

    kilifeli breki na kulikua na abiria so that was his option
  13. Ndwanga

    Ajali Kigamboni

    kwa wenye magari mabovu chukua tahadhari
  14. Ndwanga

    From tcra

    Tumia mitandao ya kijamii kwa kujiletea maendeleo na siyo kueneza chuki,ukabila na udini.Tafadhali epuka lugha ya kashfa na matusi kwenye mitandao ya kijamii.
Back
Top Bottom