kujigonga wapi.....jangwani wakati zanaki ,kisutu na forondo(forodhani) walijaa tele... ni kwamba chips aza zilikuwa haziuzwi...ila jangwani zilikuwa za kumwaga. Wana Aza inamaana mmemsahau mwl.PRIMUS-mzee wa maji,RYOBA, NYONI, mtaaluma CHRISTIAN na secon /master MKONGO alikuwa kapinda yaani...
kuweni na mshikamano ndug madsktsri msitishiwe na kauli za pinda kwa ni hata yeye amekosa mwelekeo...... hakikisheni haki yenu inapatikana ha iwezekani wao wajiongezee halafu wengine wazidi kukabwa na maisha lazma safari hii kielewekeeee.....wana madaktari wangapi wa wanajeshi na mapolisi...
Bajeti ya mkwawa kukukataliwa na kamati ya bunge ni swala la kuipongeza kamati hiyo kwani inafanya kazi ipazavyo..lakini isiishie hapo lazima walioiandaa wawajibishwe kwani walikuwa wana lengo la kuibia serekali.....mkwawa kuna uvujaji wa fedha wa aina nyingi hehu wadau fuatilieni hillo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.