Recent content by nduza

  1. nduza

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nunua dumu la mafuta Nunua kabati dogo liwe kimtindo mbao, kioo na upande mwingine wavu wa mbu Zunguka mtaani angalia mazingira ambayo unaona maeneo ya karibu hamna biashara kama hii unayotaka kufungua Weka target ya sehemu utakayoweka biashara yako Nunua karai na vifaa vidogovidogo Kama...
  2. nduza

    MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

    Chukua hii dawa mkuu Humu kumekuwa na utoto mwingi sana siku hizi wengi hawako serious kabisa Kuna maelezo ya dawa niliyapata ngoja niangalie tena alafu nikutumie huenda pia ikakusaidia
  3. nduza

    Bei ya Petroli huko Urusi inazifanya nchi za Magharibi ziisagie meno lakini hazina jinsi

    Hiyo bei ya nyumba imepanda sana kipindi hichi cha vita au ni bei ya kawaida kwa miaka yote?
  4. nduza

    Mke wangu ameniacha njiapanda

    Kuachana Kama ndiyo rais namna hii Dunia isingekuwa na ndoa hata moja
  5. nduza

    Mgao wa kipande cha Ardhi cha Pori Tengefu la Loliondo

    Serikali inayoongozwa na rais samia!!! Haya ni maneno ya kijinga
  6. nduza

    Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

    Kwanini watanzania tusiandamane kupinga hiyo mbuga kuuzwa badala yake tunawaachia maasai as if wao sio watanzania au siyo binadamu Sisi sote ni watanzania na wale wachache wananyanyaswa tusimame nao kutetea ardhi yetu siyo kukaa kwenye mitandao kujajili shit shit tu
  7. nduza

    Wale waliofufuliwa walipata kusema nini huko walikokuwa?

    Nadhani Katika habari za Lazaro hapo kifo kimefananishwa na usingizi mzito Hakuna kesi wala mashauri ndani ya kaburi Lakini kabla hujazaliwa roho yako ilikuwa wapi? Roho inarudi kule na siku ambayo utahitajika kwa ufufuo na hukumu au kiama ndiyo roho itarudishwa Lakini kwa sasa wafu ni kama...
  8. nduza

    Korea Kusini na Marekani kwa Pamoja zafyatua Makombola ya ICBM kujibu kitisho cha Korea Kaskazini

    Hii ni siasa kubwa sana huwezi kuielewa Wazungu wanajaribu kuwasambaratisha marafiki wa putin Mkiduku mpenda vurugu ni kama anaona putin anachelewa chelewa alikuwa anatamani kiwake mda wote lakini wazungu wanampunguza hapo wanampatia msalaba wake apambane nao Vilevile kwa Taiwani na China...
  9. nduza

    Je, mwenye mwanya au pengo haruhusiwi kujiunga na jeshi?

    [emoji23] Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  10. nduza

    Kweli mapenzi upofu, daaah

    Kama umezoea kula bata za majuu Bongo ni kijijini tu lazima pakuboe Vitu vingi havipatikani Nasikia mrembo alitaka wakaishi Amerika Ndiyo wakashindwana bongo hapaelewi Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  11. nduza

    Marekani yaishutumu Urusi kutumia Chakula Kama silaha ya kivita Ukraine

    Hawa wazungu washenzi wanaona kuwa wao ndiyo wana haki ya kuburuza watu wanavyotaka Putin aendelee kukaza mpaka kieleweke Wale warusi waliofilisiwa mali zao na kuwekewa vikwazo wana hatia gani kama kweli wanajali zaidi raia wasio na hatia Wangejali zaidi maisha wasingeendelea kupeleka matani...
  12. nduza

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Uzi wa ki-foo Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  13. nduza

    Alijifanya kidume, nimemlaza lock up

    Hamna kitu unajua. Kama umebahatika kupata mwanamke mtulivu mshukuru Mungu kwa hilo na kaa utulie lakini siyo kucomfirm kwamba mwanamke hapigwi Sometimes lazima apashwe makofi kadhaa kama msisitizo na kumuweka atention kidogo
  14. nduza

    Tusiwalaumu sana Adam na Eva

    Huyu kweli kalewa
Back
Top Bottom