Recent content by Ndutulyama

  1. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Barua ya Polepole itakuwa imeandikwa na wanaharakati siyo ya level ya Balozi

    Inanikera sana mtu anae toa mchango kwa kujumlisha dini yote au kabila lote??,Na mara nyingi tabia hii wanakuwa nayo watu wasio na malinda sehemu ya nyuma ya kutolea samadi
  2. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania MNEC Joseph Peneza aozesha binti yake, ampa zawadi ya nyumba ya ghorofa, shamba na milioni 70

    Wewe jamaa fala sana 😁😁😁😁 Nimecheka mno
  3. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

    Sasa hiyo sehemu ya kutolea samadi utairudishaje au ndio inakurahisishia ukifika kwenye sinki nikumwaga kimba km ngili na kutembea
  4. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania MJUMBE WA BARAZA KUU UWT TAIFA DKT. LUCY MWANISAWA ACHANGIA JUZUU 100 NA FEDHA SHULE YA SEKONDARI TAWHEED ILIYOPO SUMBAWANGA

    Sio kweli ndg juzuu sio kitabu cha mfunzo.ni kitabu cha Qur'an juzuu ya.kwanza juzuu Amaa hadi ya 30 inaitwa Libakara maana yake sura ya Ng'ombe na au Alif laam. Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
  5. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania MJUMBE WA BARAZA KUU UWT TAIFA DKT. LUCY MWANISAWA ACHANGIA JUZUU 100 NA FEDHA SHULE YA SEKONDARI TAWHEED ILIYOPO SUMBAWANGA

    Juzuu ni kitabu cha Qur'an katika vile vitabu 30 (juzuu 30) na kwa hapa dar juzuu moja 100_300 inategemea unataka vingapi na unanunulia mitaa gani. Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
  6. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Video: Mabango yenye Majina ya Peter Mutharika yaanza kung'olewa na wananchi

    Huyu ndg sijawahi ona anajibu hoja, inawezekana inaongelewa mvua yeye atakuja kuchangia jambo la corona dah hatari sana. Ndio maana tunafail zaidi kwenye mambo yetu kama nchi maana team ya Lumumba inayotuongoza baadhi yao hawajielewi maskini [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

    Hilo halipo ndugu katika uislam ni uzushi tu, hiyo kumpa taarifa ni ubinaadam tu kwa hiyo akubali akatae kuoa utaoa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

    Sio lazimu kuridhia na wala haina hata ulazima wa kumpa taarifa mke wa kwanza. Unaweza kuoa tu, kukataa mke mkubwa kuolewa uke wenza ni kuiharifu Quran.... Allah kaelekeza oeni wawili na kuendelea, ukishindwa oa mmoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea, yasiyosemwa, kutoka Dar hadi Vamizi Island

    Story yako mzr lkn chai nyingi kama wavuvi kuvua pweza kwa mshipi mmh!...ngisi ndio wanavuliwa kwa mtego ambao una fungwa mshipi huo mtego ni picha ya samaki wa plastic [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Je, mahali panapoitwa Ngende ni pakusadikika?

    Mkuu Ngende ipo mkoa wa Lindi wilaya ya liwale tarafa ya nanjilinji kata ya mpigamiti, haya maelezo yako futa usije ukamtoa ndg yetu kwenye kusudio lake, maana umetaja hapa karibu tu nyangao, ngende ni mbali huna uwezo wa kutoka leo dar ukafika lkn hapo mkwela ukipita mtama unaingia mkwela...
  11. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi wa Tume ya Katiba na Waziri wa Sheria ni Watu Tofauti?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nimecheka sana hii comment Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Majaji 10, Naibu DPP, Naibu DAG, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake

    Eeh mustapha siyani TUNDURU moja hiyo mkuu
  13. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kupokea misaada ya nyama ya kafara toka uarabuni?

    Mkuu mbona zile nyama zinagaiwa kwa jumuia za kiislam tu, na hapewi kila mtu isipo kuwa yule maskini kwa sababu ni sadaka hata huko wanako chinjwa wanachinjwa kwa minajiri ya sadaka na sio tambiko au kafara Kama asemavyo mtoa mada, ktk Surat YUSUPH Mungu kusema tufuate mila za nabii Ibrahim...
  14. Ndutulyama

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mauritius anatajia kujiuzulu baada ya kutumia fedha za msaada kufanya manunuzi binafsi

    Ni kitu kimoja mkuu, hiyo nyingine ukitamka kwa kiingereza na nyingine kwa lugha yetu sisi shit hole
Back
Top Bottom