Recent content by NdunnduIT

  1. NdunnduIT

    Polisi waanza kuisoma namba ya Mh Rais!

    Cjakusoma unachofurahia, unajua madhara ya kumnyima mlizi wako chakula? Au unawaza kwa mawazo finyu?
  2. NdunnduIT

    Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

    Hahhaaa hiz Comment zenu ni hatari sana[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. NdunnduIT

    Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

    [emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji13] dozi tena.
  4. NdunnduIT

    Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

    Real its shem.. Lakin ndio uhalisia wa baadhi ya ndoa za watu wengi siku hizi.
  5. NdunnduIT

    Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

    [emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji1] inachekesha inahuzunisha pia.. Ujumbe umemfikia asante.
  6. NdunnduIT

    Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

    Rudia post Bro utaelewa, nadhan ni bora ukajielekeza katika kushauri.
  7. NdunnduIT

    Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

    Sioni kama kuna maana yyte kubisha kuwa Fid ni Geneus labda kama mleta mada ametishika na neni genous bila kujua maana halisi na kama maana hiyo inaendana na muhusika
  8. NdunnduIT

    Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

    Kama unafanya kazi zote za ndan mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli? Unatoka job umechoka wife yupo na anasema amechoka unajipikia unatenga mwenyewe chakula na maji ya kuoga, na ukifika wakati wa kupata haki ya ndoa unanyimwa.
  9. NdunnduIT

    Natafuta mpenzi

    Huko mtaani kwako hakuna wanaume au unataka wa JF
Back
Top Bottom