Recent content by Ndungulila

  1. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais anakosea Sana kuhusisha suala la Masheikh waliopo ndani na mauaji ya MKIRU

    Ww kweli ulioni jambo ambalo mkuu kaongea kuwa uislam ni ugaidi ajifunze kuwa na akiba ya maneno
  2. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais anakosea Sana kuhusisha suala la Masheikh waliopo ndani na mauaji ya MKIRU

    Kweli kabisa uislam ni dini ya amani msituhusishe na masiasa yenu hakuna kuoka ktk uislam Ka
  3. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kabisa kuwa reactive wawe proactive kama awali katika siasa za nchi yetu

    Uliyeandika uzi huu lazima utakuwa Dr slaa hamnashida mzee tutayafanyia kazi yote uliyotushauri
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lini CCM mtaacha kupanda chuki......

    Hawajui yanayotokea kibiti yamesababishwa na ladevide and rule
  5. N

    JamiiForums Tanzania "Baba yake Spika Ndugai alikuwa mchimbaji dhahabu. Alifariki Geita!!"

    Ni ushirikina huo Ni
  6. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Magufuli, Ndugu Mwakyembe awatukana Waswahili

    Je dini zetu na tamaduni zetu zote za watanzania zinaruhusu kumsimanga mwenzio kwa kuwa amekukosea tu mm naona kunataratibu za kumuelezea hata kulifungia gazeti lake adhabu tosha lkn kumsimanga ndio naona shida eti kwasababu mswahili hajasoma
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kama Acacia wakitulipa angalau trilioni 50 ningependekeza haya

    Nakubaliana na ww mtu wangu ila chenji tugawiwe nchi nzima kwa mfano tirion mbili ikibaki yaani million elfu mbili sindio mkuu tugawiwe kwa watu million 50 kila mtu anapata million nnenne fresh tu mtu wangu kwanza laki moja nagonga mabapa matano na supu ya mbuzi nalewa nakuchakari magu,baba...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Magufuli, Ndugu Mwakyembe awatukana Waswahili

    Haya sahamahani mama labda uwelewa wangu ni mdogo wa kiswahili lkn kamsimanga mtu kisa kapewa msaada ila dini ya mwezimungu itasimama ambao ni uslam
  9. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

    Ninyi mnasaidiwa sipika wa bunge,Polisi na serikali pamoja jeshi na usalama wa taifa kuuwa upinzani ruhusuni mikutano kama anavyofanya bulembo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Magufuli, Ndugu Mwakyembe awatukana Waswahili

    Naomba unisamehe maana unaweza kuniharibia funga yangu umeanza kunitusi yaishe mama mimi punguani hakika dini ya Mwenyezimungu itasimama ambayo ni uislam
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Mangula Acha Kujivunjia Heshima Uzeeni.Rudi Kalime

    Leo umjibu vizuri bila kejeli
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dini ya Kiislam yenye mfumo wa Kipentekoste yaja

    Hakuna shida wenyedhambi dini moja ya haki ya mwenyezi Mungu ambao ni uislam
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dini ya Kiislam yenye mfumo wa Kipentekoste yaja

    K Kwa kafiri nn labda hauji maana yake ndugu tafuta maana au uambiwe faizafaizafox atakuambia
  14. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Magufuli, Ndugu Mwakyembe awatukana Waswahili

    Ww sio mswahili ww unaweza kutukanwa nakudhalilishwa kwaajili ya pesa ninyi ndio mnao pindisha harakati za wezee wetu waislam hata dini inakataa kumsema kumsengenya mtu uliyempa msaada tu kwasababu amekukwaza mbona aliyempa msaada kakaa kimya hakusema nimsaidia kubenea
  15. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Magufuli, Ndugu Mwakyembe awatukana Waswahili

    Kwahiyo unadharau mchango wao kwasababu wamekufa hakika ninyi ndio mnao tudharau ss waislam mwenyezi mungu anawaona nyie endeleeni kukejeli
Back
Top Bottom