Recent content by Ndukulusudikucho

  1. Ndukulusudikucho

    Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI

    Mi nilimfwata twitter nkamchana,jamaa akaona cjui kinamuuma akaenda ku-express insta cjui binadamu wana chuki… nkaona ananchosha tu nkamtupilia mbali
  2. Ndukulusudikucho

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    2014 ndo mambo yote
  3. Ndukulusudikucho

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hili nalo vipi?
  4. Ndukulusudikucho

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Andanenga ndo nini kwani?
  5. Ndukulusudikucho

    Hata wanawake wapenda pesa wana kiu ya hitaji hili

    Well explained… ..somo limeeleweka
  6. Ndukulusudikucho

    Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

    Hii gari ya Diamond ndo ile alopewa na Kiumbe 😳😳… .samahani lakiniii
  7. Ndukulusudikucho

    Acharazwa bakora hadharani hadi kuzirai baada ya kukutwa na NYUMBA NDOGO [VIDEO]

    Heheheheh ikija bongo kila asubuhi tutakua tunasikia vibano ka misiba teh teh teh
  8. Ndukulusudikucho

    Madalali wa nyumba: Je, wanachofanya ni sahihi?

    Tena sikuhizi wanataka uwape 10% ya bei ya kitu unachonunua,washenz sana hawa watu hela ntafute mie we kuzunguka tu na kutumia vocha na unkwapue hivo… .sio watu kabisa hawa
  9. Ndukulusudikucho

    Tatua utata!

    Huyo mpangaji sasa ni mtata kweli kweli,kwani anaejaza vyoo nani?,mpangaji ndo yupo responsible…… akizingua amwashe vibao ampeleke kwa mjumbe nyumba 10 😂😂😂😂
  10. Ndukulusudikucho

    I am a gal but in my sex dreams i'am the Man !

    Hehehhe ina maana mwanaume kuota unamegwa unaweza ukawa unamegwa kweliiii???? 😳😳😳
  11. Ndukulusudikucho

    kijana akutwa akibaka mbuzi

    Ni ukameee au kitu ganiii
  12. Ndukulusudikucho

    Nimekubaliwa kuonana na rais Ikulu tarehe 5th March, 2014

    Natuma salamu… .msalimie 🙆🙆
  13. Ndukulusudikucho

    Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Ohhh pole,fanya fumigation 2 wataondoka wote hao..
Back
Top Bottom