Recent content by ndugufred

  1. N

    Toyota urban cruiser (Suzuki Vitara Brezza)

    Ebana hizi gari nimeanza kuziona ona mtaani. Ni gari ile ile imetolewa kwa both Suzuki na Toyota. Nimeielewa sana hii gari, nataka nijipange niiagize, ila changamoto ni moja, siioni kwenye hizi tovuti zetu pendwa za Befoward, TCV etc. Hivi kuna uwezekano wa kuagiza used from India au South...
  2. N

    Wapi nitapata duka la Novel Mwanza?

    Nahitaji kununua vitabu (novel) na niko Mwanza. Wapi naweza pata?
  3. N

    Nataka nijifunze basic electronics troubleshooting,testing and repair

    Katika shule nilizopitia nimejifunza kidogo,najua vitu vidogo vidogo kama Capacitors,Diode, Transistor, Rectifier, Transformer etc. Lakini kama mnavojua ni elimu tu ya kujibia mtihani. Ila ikitokeaga nikafungua ndani ya electronic device naonaga tu Marinjirinji. Natamani sana kujua hizi vitu...
  4. N

    Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na mafunzo JKT?

    Nakuunga mkono asilimia mia mbili. Zama zimebadilika,skills ulizotaja ni perfect kabisa kuwasaidia vijana wa zama hizi na sio magwaride na ukakamavu
  5. N

    Uchepukaji makini

    Kwakweli watu wengi wanachepuka tu. Yani hata umuumbe mwenzi wako mwenyewe,uweke kila kitu unachokipenda,kuna muda utafika utamchepuka tu Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  6. N

    Uchepukaji makini

    Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye umeshajijua kuwa upo kwenye kundi la wanaochepuka, na tayari...
  7. N

    Jinsi ya kuchepuka bila kukamatwa (Kitabu)

    Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari. Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye umeshajijua kuwa upo kwenye kundi la wanaochepuka, na tayari...
  8. N

    Naomba kujua Gerage bora kwa gari aina ya Dualis

    Inavary kutegemea na foleni.Ila niliyopima siku hamna foleni ni 10.5km/l Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom