Recent content by ndubwi dume

  1. N

    Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Mkuu mzizimkavu nimekuemail kama ulivyoniagiza. Naona bado kimya.
  2. N

    wakuu wapi ntapata daktari makini wa saikolojia

    Mtafuteni DR.CHRIS MAUKI yupo pale UDSM kama sukosei Sociology Dept. Huyu bro huwa anafanya sana kanselin za aina hii.
  3. N

    Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Wanajamvi naomba msaada wenu kwa mtu yeyote anayefahamu dawa ya mtu mwenye kifafa, maana hali hii imenitokea ghafla kwa mara ya kwanza mwaka jana kwa kupoteza fahamu kwa muda usiozidi nusu saa. Nimejaribu kwenda hospitali na kufanya vipimo mbalimbali kama MRI na CT-Scan lakini vyote vinaonyesha...
  4. N

    Toyota rav 4 mpya inauzwa

    Kwa bei hiyo endelea kusubiri sana. Tofauti ya miaka 11 afu wewe unasema ni mpya.? Kweli wewe umetoka mboka manyema.
  5. N

    wachaga mbona mnawalazimisha dada zetu mliowaoa kunywa damu

    Mleta mada nae ni kishoia. Watu wanajipatia kisusio yao saafi kabisa yeye asema damu atiiii? Mbana maasai akitaka damu anakamata ng'ombe mmoja anamchoma kamshale kwenye mshipa kisha ananyonya damu akimaliza anachukua samadi ya ng'ombe anaziba maisha yanaendelea. Mleta mada unatakiwa ujue kuwa Tz...
  6. N

    Ondoa nta wa masikioni(earwax)kwa njia rahisi inayoitwa wax blockage.

    Huo mmea ginkgo bilaboa nitaupataje au wapi?
  7. N

    Watu Wanane Wafariki Papo Hapo-Mkoani Mwanza

    Mbona kila kitu kenya? Unaweza kuta wewe mweyewe ndiye unayechangia kwa kiasi kikubwa kurudisha maendeleo ya serikali nyuma kwa kutokulipa kodi. Ebu fikiri ni marangapi umechangia kuikosesha serikali kodi,au kuharibu miundombinu ya serikali kwa kutupa taka hovyo au kwa njia yoyote ile. Yatosha...
  8. N

    Faida za kula mayai ya kuku wa kienyeji

    Hiyo ya kuchanganya na asali mkuu mzizi mkavu.ni ikiwa kibichi au kimechemshwa. Na je asali mbichi mixer limao kila asubui inasaidia nn.
  9. N

    Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

    Mzee wangu Dr. Lwaitama kamata hiyo like yangu,hayo maneno ni kama upanga ukatao kuwili. Waliosikia wamesikia.
  10. N

    Mwanamke huyu anawafanyia wateja wake masaji kwa kutumia "many0ny0" angalia video hapa

    Kweli huyo ni mkareeee. Kamata fursa. Twenzetu
Back
Top Bottom