Recent content by ndotamampha

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sikiliza mazungumzo kati ya chawa na Mwenyekiti wa Bawacha kumshawishi kuihujumu chadema kwa mkumchafua Heche

    Uko sahihi mkuu Paskal kusema ukweli ni wajibu wako bila kujali anaambiwa nani,lakini je mbona sikusikiagi ukiusema huo ukweli pindi serikali inapokuwa imefanya mambo ya hovyo?au huo ukweli ni kwa baadhi tu ya mambo?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu puani kunasababishwa na nini? Na tiba mbadala ni ipi?

    Usiwaze sana mkuu hilo ni tatizo la kawaida linaweza kuisha lenyewe,mimi nimeteseka nalo miaka mingi mpaka nikalizoea ila liliisha lenyewe bila kutumia dawa yoyote.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

    Unapokanyaga miiba usiku ambayo ulishaiona mchana basi wewe ni mpumbavu kuliko upumbavu wentewe.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Leo nimemuona classmate mwenye miaka 35 ana-push LC 300 na anaingiza tarakimu 9 kila mwezi, nimehisi wivu wa maendeleo

    Huo unaweza kuwa ndiyo mwanzo wa safari Yako nzuri ya matumaini,haujachelewa mkuu,amka kaza Buti,Anza mchakamchaka naamini Mungu Yuko pamoja nawe,u
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kama uzuri ingekua unagaiwa, ningempunguzua dada angu

    Naomba nikuulize maswali mawili;Kwanza nikuulize wewe ni jinsia Gani?me au ke,na kama ni me huwa unajisikiaje pale unapoambiwa wewe ni mzuri kuliko dada Yako?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Maaskofu jueni kuwa Uaskofu si cheo cha kisiasa ni cheo cha kiroho wasaidieni watu wauone ufalme wa Mbinguni

    Kwani hao wanasiasa siyo watu?na kama ni watu je wao hawana haja na Mungu?na kama wanayo haja na Mungu Sasa wanampataje bila hao watumishi wa Mungu,au ukishakuwa serikalini wewe na Mungu basi,na kama si hivo huyo padri kukufuata huko siasani na kukuongoza anakuwa amekosea wapi!?.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Napitia kipindi kigumu nilivamiwa na vibaka na kunipora pesa zangu za mtaji, napitia kipindi kigumu sana wakuu msaada

    Ushauri wangu wa harakaharaka uza hiyo sim unayotumia ili upate mtaji uendelee kupambana kuliko kuendelea kupoteza mda humu jukwaani na huko polisi ukimhangaikia teja
  8. N

    JamiiForums Tanzania Napitia kipindi kigumu nilivamiwa na vibaka na kunipora pesa zangu za mtaji, napitia kipindi kigumu sana wakuu msaada

    Kwa nini hautaki kutaja Id yako ya zamani?au wewe ni miongoni mwa wale matajiri wa jf wanao ogelea kwenye utajiri wa kutisha sasa unaogopa kujulikana uhalisia wako?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Serikali Iwasaidie Hawa Mabinti 10 wa Kitanzania Waliotiwa Mbaroni Nchini Thailand Kisa "Umalaya "

    Tatizo wanapenda maisha mazuri yenye mserereko.
  10. N

    JamiiForums Tanzania FIFA - CAF World Cup Ranking, Top 10 clubs

    Hapana hawavuti bangi ila huyu aliyetoa andiko hili ndo anavuta bangi
Back
Top Bottom