Na Mimi kutoka Dodoma nasema huo ndo uungwana wetu sisi Watanzania na hasa kwenye kuleta maendeleo ya nchi yetu wandamba,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaonge vizuri sana kwa maslahi ya Tanzania we unamuita kibaraka ulitaka atukane kama wengine ndo umuone yeye ni bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna wakati wengine wanaipigania nchi kumbe wasaliti wanaturudisha nyuma.Huwezi pambana na nchi ukajua hutajulikana,muda umefika kulipia matendo yao
Hakika tulimuhitaji Rais kama huyu wakuibadilisha Tanzania,pamoja na yote yanayoendelea Mimi nitampambani Rais wangu kwa njia yoyote hata kwa kuvuja damu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.