Recent content by Ndoika

  1. N

    Vijana wa Monduli wapanga kwenda kumuomba mh Izaack Kadogoo awe mrithi wa Lowassa

    Hivi watu wa Monduli akili zao sijui zimewaruka? Huyu Kadogo hakuwahi hata kumaliza darasa la saba, leo hii ni diwani, katibu mwenezi wa chama mkoa wa Arusha na sasa wanatamka eti awe amrithi mhe. Lowassa. Nakuambia mhe. Lowassa ukiruhusu huyo kubeba kijiti utakachokiachia ni afadhali uache hata...
  2. N

    Pinda kushitakiwa kwa kauli zake tata "wapigwe"

    Kati ya watu walemavu wa akili ndiyo kama wewe, kweli kwa busara ndogo tu unaweza kusapoti alichosema Pinda kuhusu kupiga raia anaowatawala? Sheria alizokabidhiwa afanyie kazi kulingana na katiba zinamwelekeza kuua raia? Fikiri kama mtanzania.
  3. N

    Notes za biology a' level -classification

    Wanajf naomba mwenye notes nzuri za classification anitupie humu niweze kujiandaa vema na paper wakuu.
  4. N

    UHAKIKA: Mishara Mipya kwa waalimu

    Hivi kama tunadharauliwa walimu kwa kiwango hicho, tunaiweka serikali ya ccm madarakani ya nini??? Tubadilike!!
  5. N

    Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Mungu akubariki Lema we na familia yako, na ninakuhakikishia watatupiga na kutuua lakini damu na machozi yetu yatakuwa laana kwao hao mafedhuli na kwetu yatakuwa baraka kwa wapenda ukombozi wa kweli. MUNGU IBARIKI ARUSHA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
  6. N

    CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

    Uko sawa kabisa kaka!
  7. N

    Marekani yatoa onyo kali kwa msafara wa Rais Obama Dar

    Utaiweza misosi ya mamtoni ndugu yangu? wacha wale wenyewe baana!
  8. N

    Kitendo walichofanyiwa Dr. Slaa pamoja na Josephine Airport Dar es Salaam siyo cha kiungwana

    Usalama wenyewe c ni wa magamba tu, wasubirie 2015 watakapokuwa wanasalute kwa Dr Slaa
  9. N

    Bajeti yapitishwa kwa kejeli.

    Sisi wananchi ndo tunatambua kazi wanayofanya CHADEMA, subirini tuwakabidhi nchi 2015
  10. N

    Natangaza Rasmi kujivua Gamba na Kujiunga na CHADEMA

    Njoo kwa wajanja tuikomboe nchi. Ujue magamba wanafaham ukweli kwamba maji yamewafika shingoni na wanapumlia mashine za mabomu ya machozi sasa.
  11. N

    Walimu muwe macho na siasa majitaka za CHADEMA, hakuna waraka ni uzushi tu

    sasa chadema wanahusika vipi na waraka jamani? Walimu walishachoka tu kwa kudharauliwa kiasi cha kuitwa mbayuwayu na viongozi wakuu wa nchi.
  12. N

    Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

    kiukweli nchi imemshinda jk, hebu kubali kushindwa uwaachie wtz wengine!
  13. N

    Sumaye amponda Lowassa

    Lowassa ana nywele nyeupe lakini roho yake si nyeupe, kuweni makini watanzania!
  14. N

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Mheshimiwa Mwigulu huna namna unaweza kujitetea kwa hili dhahama maana hata transactions ulizokuwa unafanya na Ludovick ili kufanikisha udhalimu huo uko dhairi. WE UNGAMA DHAMBI HIYO BROTHER!
  15. N

    Unyama wa polisi Tanzania- walazimisha mtu kukubali video kwa kumtishia umeme

    huu ndiyo udhalimu uliojaa sura ya ushetani wa ccm na polisi wao. Shime ndugu watanzania tuiondoe hili li-ccm madarakani la sivyo tutaendelea kuteseka zaidi miaka mingine 5 ijayo. Tusikubali kabisa kuhongwa na kanga na tisheti safari hii
Back
Top Bottom