Recent content by ndimgayashida

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri biashara ya kuanza nayo

    Ts kuanzia laki 5 kuendeleaaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kosa langu ni nini katika haya yote?

    Kumbuka alikulisha na kukuhudumia ulipolazwa..usihesabu mabaya hesabu na mazuri...fikiria pia kama Mungu angekua hasamehi wanadamu makosa yao
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri biashara ya kuanza nayo

    Nunua belo la mitumba then uza retail
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

    Mshenz Wa tabia huyo watu hatuna ata baiskeli apa ye anakataa vitz...ngederee
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama huanza kutoka Lini baada ya Kujifungua?

    Atakua sawa tu msijali...bila kusahau huyo mama ale vtu vya maji maji sana...vimiminika namaanisha...ninamuweka kwnye maombi pia...Mungu atamsaidia msijali
  6. N

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama huanza kutoka Lini baada ya Kujifungua?

    Mpeni huyo mama uji wenye pilipili manga lakin pia muomben Mungu amfanyie wepesi
Back
Top Bottom