Recent content by ndille

  1. N

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

    kwa taarifa yako ata kama ungeandika ukweli, humu utabishana na makamanda wasio amini kama kuna Mungu. sasa watakuamini wewe? wenzako wanabishana na redio.
  2. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

    ikwanja kazi unayo, wananchi wakiwastukia tu hawatatoa sadaka ili familia zenu ziende choo
  3. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

    wananchi angalieni sana siasa hivisasa ni kama dini baada ya kuhutubiwa lazima mtoe sadaka. kumekucha hamkeni
  4. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

    kama mmefikia hapo kila siku ni yamaandamano basi naakika maendekeo ya nchi hayatakuwepo.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sababu iliyomfanya mkuu wa mkoa Arusha kupigwa mawe

    andamana na familia yako, ubunge tukupe na kuandamana pia, hapana kaandamane mwenyewe
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sababu iliyomfanya mkuu wa mkoa Arusha kupigwa mawe

    unasubili nini? chukua familia yako na yake mwende mkaandamane.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Mwanachuo wa Uhasibu - CHADEMA kuhusishwa

    kwa kuongezea mimi nimeishi sana njiro vibaka wanaovamia huwa hawapungui 30 kwa hesabu za haraka.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Mwanachuo wa Uhasibu - CHADEMA kuhusishwa

    wakukamatwa ni lema kwa sababu kiongozi bora ni yule anayeorganizi wananchi ktk kutafuta mwafaka wa jambo fulani ila bora kiongozi ndiyo Mh. Lema anafanya. em wanajanvi tuwe na utu kwenyejambo muhim kama ili, sasa chuo kimefungwa waliathilika ni nani?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe apinga katiba mpya,

    nani kakwambia hayo? ila ndio mwisho wako wa kufikili.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

    UNAUHAKIKA NA UNACHOKINENA?? acha ushabiki.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

    kamanda naona umetimiza ILANI YA M4C. kwa lugha chafu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

    naona umetimiza ILANI YA CHADEMA kwa kuwaita wenzako "MBULLULA"
  13. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

    acha kuwaza kwa kutumia makalio
  14. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

    yaani ktk mambulula huyu jamaa ni mbulula wa kwanza " by jiulize kwanza"
  15. N

    JamiiForums Tanzania CHASE GAME: Hapa kuna historia na mchanganyiko wa mengi...

    haliyetupia izi picha hana upeo mkubwa wa kufikili.
Back
Top Bottom