Recent content by Ndengustani

  1. N

    JamiiForums Tanzania Joka kubwa aina ya chatu lazua taharuki jijini Arusha

    Mleta uzi huu umechemsha kwa kusema kuwa hicho ni kiarabu,umekurupuka unatakiwa uulize kwanza usingetaja lugha
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mashine ya mionzi Ocean Road Hazifanyi kazi!!

    Hii inasikitisha sana kwa serikali yetu kushindwa kukarabati mashine hizo (chemotherapy) kituo chenyewe ni kimoja tanzania nzima kinachotoa huduma ya mionzi kwa wagonjwa wa saratani na kimeharibika zaidi ya mwezi,..kuna wagonjwa wangapi ambao wanahitaji huduma hii ambayo ni muhimu.?serkali kwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Coast bus dar-tanga
  4. N

    JamiiForums Tanzania Joka kubwa aina ya chatu lazua taharuki jijini Arusha

    Mleta uzi huu utakuwa hujui umekurupuka kwa kusema hicho kilichoandikwa hapo kuwa ni kiarabu ..ungeleta uzi huu bila ya kutaja lugha
  5. N

    JamiiForums Tanzania TANZiA

    Maziko ya aliyekuwa imam na shekhe wa masjid mwinyimkuu shekhe manzi kufanyika kesho baada ya sala ya Alasiri msikitini mwinyimkuu magomeni mapipa ...inallilah wainna ilaihi rajiuun
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Sheikh Manzi wa msikiti wa Mwinyimkuu afariki dunia

    Kuna taarifa ya msiba wa imam na shekhe wa msikiti wa Mwinyimkuu SHK MANZI Magomeni Mapipa, maziko yanategemewa leo. Innallilahi wainna ilaihi rajiun.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ajali ya Treni 2002, Dodoma

    Wewe mbulula ni AJARI au ajali?
  8. N

    JamiiForums Tanzania House for sale

    Wekw pic kiongozi....unauza kama hauna njaa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Lengo la waziri wa JK kubadili dini ni nini?

    Malecela nae pia alibadili dini..""??????
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mwezi Mtukufu Wa Rajab: Ya Kutenda na ya Kujiepusha nayo

    Alhamdullillah mungu akujaalie na kama kuna za mada zingine shekhe tupia humu.. Tuelimike
  11. N

    JamiiForums Tanzania Picha: AINA ZA VITAMBI

    Mbavu sina lakini hiyo pic ya kwanza inawezekana kapandikizwa mimba
Back
Top Bottom