Pole sana dada.
Mawazo ya kifo mara nyingi huambatana na roho wa mauti. Kila siku tenga muda wa kufanya maombi, omba Mungu akupe maisha marefu na kukuondolea roho wabaya.
Wakati wa maombi jaribu kuwaombea na ndugu pia kwa sababu roho ya ya umauti wakati mwingine huletwa na ndugu..Mwambie Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.