Recent content by ndekirwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Akiwa Chuo Kikuu Dar es salaam,Dk Bashiru alipika wasomi wa kutukuka,baada ya kujiunga CCM, aibua vijana kama Musiba

    Write your reply...unapokuwa na akili kuliko anayekupangia majukumu ndio hapo utendaji wako unakufanya uonekane huwezi.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

    Wewe mzee ni wale wanao Shiba. Jaribu na upande wa pili.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM acheni kuwahukumu Mzee Makamba na Kinana viacheni vikao vya chama

    Wamenyolewa sisi tutie maji mapema kinyozi awezakuja saa yoyote, asjije kukuta umkavu utaumia.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hili la treni ya Arusha, Tanga, Moshi mbona hamuandiki au ya Chato tu ndio huwa mnayaona?

    Write your reply...Mnyonge ananyongwa namnyongaji, ila mnyongaji anajinyonga mwenyewe na haki hujipa mwenyewe pia. 'TAFAKARI'
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hazuiliki

    Write your reply...WEWE WASEMA.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bashe: Walichokifanya Kinana, Makamba ni kumkosesha Magufuli uhalali kuwania urais 2020

    That's real timing hongera zunu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bashe: Walichokifanya Kinana, Makamba ni kumkosesha Magufuli uhalali kuwania urais 2020

    Write your reply...Unajua msani maana yake ni mchezaji na bongo za wasio wasani'kama mazingaombwe vile, lakini msani kwa msani mchezo haupo, kinachoendelea ni kutaka kumuokoa KABUDI. 'USANII' Msibabaike.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Musiba sasa ‘awatukana, kuwabagaza na kuwadhalilisha’ wanachama wote wa CCM. Kiburi hiki anakitoa wapi?

    Ninaogoopa mpaka na mimi ni MNAFIKI, ni hatari Sana. Kikulacho kii.......... mwako.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Chato vs Butiama kwa miaka zaidi ya 20 alikuwa mbunge na waziri alishindwa kawa rais ndani ya miaka 3 tu ishakuwa jiji ndio mnamfananisha na Nyerere

    Write your reply...after muongo 1it will be Paris of tz, and after that? GOD knows?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA washangaa ndege za SA Airways kutoa heshima ya kijeshi kwa Rais mteule mh Ramaphosa

    Write your reply...kama huo ndio sababu ya kuwa na airways TUMEKWISHA
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwa kampuni ya MEIS kusakwa na Takukuru ni suala la muda Benard Membe atanasika!

    Write your reply...Hivi Membe na CDM wapi na wapi mizigo ya wengine kuangushia wengine ni laana.
  12. N

    JamiiForums Tanzania TBC: Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Magufuli kwa mgeni wake Rais Tshisekedi, mzee Lowassa ahudhuria

    Write your reply...Kama wewe hujakatwa..... Ni lazima uwe........ Vinginevyo wewe ni Mkono go tuuuu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwonekano Mpya wa Ubungo flyover baada ya kubadilishwa design ya mwanzo

    Write your reply...Tusubiri tuone sisi wengine hatuna hata idea yauhandisi, ila yasiwe Yale ya Mfugale.
Back
Top Bottom