Hiki chuo bana saiv wamehamia kimara kina koz nyingi tu za afya, wanafunzi wake wanalalamika sana kwa ishu za udhalilishaji wa kingono unaoendelea hapo chuoni asee binafsi ninafahamiana na wanafunzi wawili tofauti wote wapemba ambao walkua wanasoma hapo kwa nyakati tofauti na walkua wanasema...
Mkuu acha kumkashifu Magu mikataba kama hii aliipiga vita hadharani unakumbuka siku alkua anazungumzia mkataba wa bandari ya bagamoyo?? Si ilikua na mambo kama haya na akayapiga chini??
Heshima sio kitu Cha kuombwa mkuu kama unastahili utaipata kitendo Cha wewe kututaka tumpe heshima mtu wako...
Vijana wengi mnaogopa ukimwi ila kuna hepatitis mkuu tena inayosababisha kansa ya ini spread yake ni hatari kuliko HIV na ni life time disease Yani ata mgusano tuu na Maji Maji ya mwili ushaupata , mate jasho na Yale ya Niaje Yote yanaweza sambaza so kuwa makini .ila uzuri ni Kwamba kuna kinga...
Dawa ya waalimu Kama hao mkuu wakomoe saiv pambana adi ukikutana nae aone alkosea mkuu, Mimi o level nilkua spend kunyoa kabsaa Sasa kuna tcha alkua ananionea Sana kila tukikaguliwa ananipiga mkasi tena kwa chini chini Sana ili anikomoe tuu saiv nimefuga rasta ili na Mm nimkomoe [emoji1]...
Ni kweli Vitunguu husababisha Harufu mbaya kinywani kutokana na kua na kemikali ya sulfoxide inayobadilishwa nakua sulfur na ndio inaaminika kuwa chanzo cha Harufu mbaya,sulphoxide hii hii pia inabadilika yenyewe na kua ropenatio-s-oxide ndio inayosababisha mtu kutoa machozi pindi anapokata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.