Recent content by nde_yanka

  1. N

    Ancient Footprints discovered in Tanzania

    Hapo Kuna kitu cjaelewa .hiyo miguu walikuwa wanajaribu kuifuatisha ilikuwa size moja na yakwao au ilkuwa mikubwa.maana inaonekana kama ilkuwa almost inafit sasa itawezekanaje natunajua binadam wa zaman walkuwa wakubwa Kimaumbo kulko binadam wa sasa
  2. N

    Nataka kuwa na roho ya ukatili

    Habari wanajf ...natanguliza pole kwa kijana hapo kwa masahibu yanayomkuta mpaka anafikiria kuwa mwenye roho mbaya,napia nmeskitika kwakuwa kijana hajapewa ushaur badala yake ameanza kuonekana wakuja.katika jamii yetu saiv tumekuwa tunaendeshwa kwa hisia sana yaani wachache tu wakitoa mawazo...
  3. N

    Maisha ya MCHAGGA....

    hakuna mchaga mshamba kwenye hela wewe,if u want to succeed u have to endure us
Back
Top Bottom