Recent content by Ndayambaje Jr

  1. Ndayambaje Jr

    UDOM second round

    Nisaidie hiyo namba ya UDOM
  2. Ndayambaje Jr

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Mwenyewe Kwenye List Ya Multiple Kutoka TCU Jina Langu Halipo Lakin Nimechaguliwa UDOM na STEMMUCO na UDOM wanataka ni confirm lakin STEMMUCO Hawajeweka Sehem Ya Kuconfirm,, Ngoja Nisubirie Code Ni Thibitishe UDOM
  3. Ndayambaje Jr

    SUA NINI MNACHOFANYA?

    Kwan Hujapata Chuo Mkuu? Kiujumla SUA Wanazingua Mwenyewe Niliomba Na Status Yangu Haijabadilika Kama Nimekosa Au La
  4. Ndayambaje Jr

    Waliopata div two ya 11 na ya 12 wakakosa vyuo, lazima TCU ijitafakari

    Huo Mfumo Tulianza Nao Tuliomaliza Six 2016 Tena Bila Kutaarifiwa
  5. Ndayambaje Jr

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Kila Kitu Tanzania 2konyuma,,, Hao TCU Ukiwapigia Hawapokei Simu Na Kwenye Social Pages Zao Wala Hawajib Nadhani Wanatakiwa Wajitahmini Kwann Waweke Namba Za Cm Kama Hawapokei
  6. Ndayambaje Jr

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Wanaboa Sana Mfumo Wa Code Tangia First Selection Uliwashinda Walitakiwa Watafute Alternative Way
  7. Ndayambaje Jr

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Jamani Hizo Code Zinatumwa Na Chuo Au TCU?
  8. Ndayambaje Jr

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Tujuzane Atakayepata Code
  9. Ndayambaje Jr

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Kwan Code Wanatuma TCU au chuo husika
  10. Ndayambaje Jr

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Confirmation Letter? Nisaidie Namba Za UDOM Zile Za Kwenye Website Hawapokei
  11. Ndayambaje Jr

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Write your reply...Wanatuweka Na Mawazo tu
Back
Top Bottom