Recent content by ndanzi23

  1. N

    Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

    Kilichomshinda kule ni namna timu zilivyokuwa zinaendesha, mfumo wa uendeshaji haukuwa rafiki.
  2. N

    Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

    Bakhressa ilimshinda kwasababu ya namna ya system ya uendeshaji ilivyokuwa na hivyo hivyo kwenye hizo timu nyingine alizotoka. Mara nyingi wamekuwa wakitoa pesa zao mwisho wa siku hakuna linalofanyika na ukiweka ngumu kutaka kusimamia watu wanakuja juu wanajiita wenye timu, ndiyo maana...
  3. N

    Mapokezi ya ndege mpya ya ATCL eneo la Terminal One-JNIA

    Baada ya utafiti waligundua tatizo halikuwa landing gear ila kulikuwa na kutu ambayo ilikuwa inajitokeza eneo la landing gear na kusababisha utuaji mbaya. Hiyo makala uliyowea soma hadi mwisho. Najua hiyo umeipata kwa mwanasiasa mmoja hivi.
  4. N

    Fahamu kuhusu kuku aina ya SASSO

    Naweza kupata mawasiliano yenu please?
  5. N

    Kitwanga aponda ndege mpya za ATCL mwanzo mwisho

    Hizi siyo ndege kubwa ni ndege za abiria 70 sasa nashangaa watu mnavyolinganisha na ndege za FastJet. Na kwa wasiojua kuhusu ndege za Bombadier Q400 someni kuhusu technology yake hapa commercialaircraft.bombardier.com/en/q400/Technology.html..................... Ukisikia kitu kwenye mtandao...
  6. N

    UHABA WA SUKARI: Paul Makonda aendesha msako, tani 4 zakamatwa Kinondoni

    Siyo wote wanaoweza kuhimili hiyo bei ya 3000 ya sukari hili ni jambo moja la maendeleo...
  7. N

    Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

    Amekuwa mfalme njozi ama ana maono ya kinabii.
Back
Top Bottom