Kuna tukio la kusikitisha lilitokea mtaani kwangu. Kijana wa form five alikuwa anamlawiti mdogo wake wa kike wa darasa la sita (Mtoto wa mama yake mdogo anayelelewa na mama wa huyo kijana).
Inaonekana hicho kitendo kilianza muda mrefu mpaka siku mama yao (Mama mkubwa wa kabinti) alipogundua...
Mbona ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi na watoto wetu? Hakuna chama cha kupigania masuala ya wanafunzi? (Kama ilivyo kwa walimu). Hili suala linahitaji nguvu ya wanafunzi au wazazi kwa pamoja. Sio ishu ya mtu mmoja mmoja.
PSSSF wanayo App. Mimi naitumia na ninavyoiona ina functions nyingi tu nzuri. Leo tu nimeweza kuhakiki taarifa zangu na wategemezi wangu pamoja na kuangalia michango yangu na kuprint statement ya michango yangu. Inawezekana hiyo function unayoitaka wewe haipo au bado haijaanza kufanya kazi...
Hawa watu wanatumia dawa. Kuna dada nilikuwa nimepanga nae nyumba moja wakati nasoma chuo hapa Tanzania, yeye alikuwa anasomeshwa na wazungu wakiwa wanaishi ulaya. Tukiwa mwaka wa 3 chuo alitumiwaga pesa ya ada na kula kama milioni 6. Akaenda kuchukua KCB mlimani city, anapotoka tu akakutana na...
Utakuwa unapenda sana umbea we jamaa. Kuna cha kufundisha watoto wako kuhusu maisha hapo. Kaacha chuo ili afanye forex wakati hiyo forex angeweza kufanya akiwa chuo hapo hapo. Inafanywa online hiyo kitu. Kwenye comments zooooote umeona umbea tu? Acha akili wazi, usiifungie kwenye box la umbea.
Sikumbuki kama Kuna mahali nimeiponda biashara ya forex. Kuna watu wanafanya na Wana pesa nawafahamu vizuri. Ila Ili kuweza kumaster ukafika level yao si chini ya miaka 3 ya kujifunza kwa vitendo na kwa bidii. Nashauri tu kijana ambaye Yuko chuo na anafanya vizuri asiache chuo Ili akafanye...
Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje).
Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa...
Jaribu kuajiri watu kutoka nchi zingine. Huwa wanakuwa waoga. Vijana Wabongo wanaendekeza maisha ya kuiga na kupata pesa za haraka. Watakusumbua always.
Kimuundo hatuko sawa mkuu. Waarabu Wana mapua marefu sana. Wazungu Wana vipua virefu vyembamba. Waafrika mapua mapana halafu fupi. Wachina macho yao yamevimba halafu yako mbalimbali sana. Etc.
Tafuta na usome kitabu kinachoitwa THE MANIPULATED MAN. Kitabu hicho kitakueleza vizuri kwanini kazi ngumu ni za wanaume (Na Bible imesema tutakula kwa jasho) na vitu vitamu vitamu ni vya wanawake. Kwa kifupi mwanamke amejiweka kwenye position ambayo anajifanya dhaifu na mwanaume analazimika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.