Recent content by Ndandalo

  1. N

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Niliwahi kuwa na kesi pale Arusha cma wanapenda rushwa kweli ila bahati yao hawakuingia kwenye mtego maana niliwaripoti pccb ila wataingia tu 18 za pccb maana hawana hata aibu wanakula rushwa waziwazi
  2. N

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Wanae mkurugenzi somebody Mwidunda kama sijakosea
  3. N

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Mkuu tupo pamoja nawatetea hao CMA kwamba wanafanya kazi mazingira magumu na hata kama wanakura rushwa basi kiwango kidogo sana maana wateja wao wengi ni wa hali ya chini wasioweza toa rushwa ,hao wa Serengeti au maarufu huwa wachache sana
  4. N

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Hakuna rushwa hapo kama ipo kidogo sana tofauti na mahakama zingine,hapo asilimia 98 wafanyakazi wanashinda kesi dhidi ya waajiri wao
  5. N

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Tatizo CMA imesuswa katibu mkuu anapendelea sana idara ya kazi , jamaa yangu alipata kazi hapo akakacha maana hawaeleweki wanatia huruma ,wamepauka balaa hiyo rushwa ya kula itatoka wapi wakati wateja wao wenyewe ni walinzi wa makampuni na wafanyakazi choka mbaya wa viwanda?
  6. N

    Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Mtukane insta au face book kwa jina lako halisi utajua ni nani, uwe maarufu lakini sio unaishi kwa shemeji
  7. N

    Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Wanunue vipi wakati Mange ameshausambaza bure tangu asubuhi, kwenye magroup ya whatsup umesambazwa ....
  8. N

    Gwajima amcharukia Diamond

    Atamalizia kubaya wewe kama nani? Mxiuwww
  9. N

    Gwajima amcharukia Diamond

    Safiiii kesho hadi tuwahafamu michepuko wa Mama Diaomond
  10. N

    Gwajima amcharukia Diamond

    Warumi kala Ban maana kaporomosha matusi balaa kwenye uzi wa Wema alioanzisha
  11. N

    Gwajima amcharukia Diamond

    Hahahahaha tulikumis baba Gwajima ,mpe huyo domo jagi hadi asikusahau. Mhhh ila naona kama ya kutungwa vile!
  12. N

    Freema Mbowe, Halima Mdee, wahojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge

    Kesho kazi ipo kwenye ugomvi wa habari ipi itapewa front page...kati ya Nape, Mbowe au Roma?
  13. N

    Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Siipendi ccm simpendi Nape kwa aliyotutendea wapinzan hasa bao la mkono. Leo anafutwa machozi kesho atafutwa ushuzi
  14. N

    Neno kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop Gwajima kuhusu yanayoendelea nchini kwa hivi sasa

    Bora huyo anaonekana mental we unaonekana kama m.bakwaji
Back
Top Bottom